Kenya yazaliwa upya.
Nairobi, Kenya 27/08/2010. Wananchi wa Kenya, leo hii wameshuhudia kutiwa sahii katiba mpaya ya nchi hiyo.
Kwenye sherehe hiyo iliyo udhuliwa na viongozi na marais wa nchi jirani, rais wa Kenya Mwai Kibaki, aliapishwa tena ilikuiongoza Kenya chini ya katiba mpya.
Kukubalika kwa mabadiliko ya katiba ya Kenya ni matokeo ya kura za maoni zilizo pigwa hapo awali na ambapo wananchi wa Kenya waliowengi walikubali katiba ya nchi ifanyiwe mabadiliko.
Picha hpo juu anaonekana rais wa Kenya Mwai Kibaki, akinyanyua juu katiba mpya ya Kenya, mara baada ya kutia sahii kupitishwa kwa katiba hiyo mpya.
Friday, August 27, 2010
Posted by
Kibatala
at
Friday, August 27, 2010
0
comments
Saturday, August 21, 2010
Wairani washangilia uzinduzi wa nguvu za kinyuklia.
Tehran, Iran 21/08/2010. urussi na Iran zimeanza kwa pamoja urutubishaji wa madini kwa aajili ya kuimarisha na kuongeza nguvu za siahati ya kinyuklia.
Akiongea katika ufunguzi huo makamu wa rais wa usimamizi wa nyuklia, Ali Akbar Salehi, alisema " mradi huu umesimamiwa na serikali ya Iran na serikali ya Urussi na nihatua ya kimaendeleo kwa wanachi wa Iran."
Naye waziri wa mabo ya nje wa Urussi Sergi Lavrov alisema, uzinduzi wa mradi huu wa kinyuklia ni muhimu kwa Iran kwani wanachi wa Iran watafaidika kimaendeleo."
Picha hapo juu anaonekana mwanamama wanasayansi wa mabo ya kinyuklia akikagua kwa makini ni jinsi gani mashine zinavyo fanya kazi.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, August 21, 2010
6
comments
Wednesday, August 11, 2010
Wanyarwanda wamchagua tena Paul Kagame
Wanyarwanda wa mchagua tena Paul Kagame.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, August 11, 2010
1 comments
Sunday, August 8, 2010
Pentagon wataka Wikileaks kurudisha nyaraka za siri.
Pentagon wataka Wikileaks kurudisha nyaraka za siri.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, August 08, 2010
0
comments
Thursday, August 5, 2010
Wakenya wakubali mabadiko ya katiba ya nchi.
Wakenya wakubali mabadiliko ya Katiba ya nchi.
Nairobi, Kenya - 05/08/2010. Matokeo ya uchaguzi wa kura ya maono yaliyolenga kubadirisha katiba ya nchi yamekubaliwa kwa asilimia kubwa.
Kampala, Uganda - 05/08/2010. Aliyekuwa rais wa Uganda Godfrey Binaisa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Hague,Uhollanzi-05/08/2010. Mahakama inayoshughulikia kesi za ukiukwaji wa haki za kibinadmu duniani leo imemuhoji mwanamitindo maharufu duniani Naomi Campbell.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, August 05, 2010
0
comments
Tuesday, August 3, 2010
Izrael na Lebanoni zatupiana sisasi.
Mkuu wa polisi ahukumiwa jela miaka 15.
Beiruti, Lebanon - 03/08/2010. Jeshi la Lebanoni na jeshi la Izrael wametupiana risasi na kusababisha majeruhi ya wanajeshi wanne wa Lebanoni na vifo vya watu watono mmoja wapao akiwemo mwandishi wa habari.
Kwa mujibu wa habari zilizo patikana zinasema mashambulizi hayo yalianza wakati jeshi la Izrael lilipo kuwa lina jaribu kukata miti iliyopo mpakani na Lebanoni.
Picha hapo juu wanaonekana wahudunu wa huduma ya kwanza wakimkimbiza mmoja wa majeruhi mara baada ya kujeruhiwa.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, August 03, 2010
0
comments
Sunday, August 1, 2010
Desmond Tutu kujihudhuru kazi za kiofisi.
Desmond Tutu kujihudhuru kazi za kiofisi.
Cape -Town, Afrika ya Kusini - 01/08/2010. Aliyekuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Agrikan nchini Afrika ya Kusini na mshindi wa zawadi ya Amani ya Laureate Desmond Tutu ametangaza ya kuwa atajihudhuru na kutumia muda mwingi na familia yake.
Akiongea hayo Askofu mstahafu alisema, "Nita kuwa nasiku moja ya kiofisi hadi hapo mwaka 2011 Februari.
Askofu Desmond Tutu alikuwa mmoja wa viongozi waliopinga ubaguzi wa rangi.
Picha hapo juu anaonekana Askofu mstahafu, ambaye ifikapo 2011 Februari atakuwa na muda mwingi wa kukaa na familia yake na kusimulia hadithi kwa wajukuu.
Washukiwa wa mauaji ya Kampala kizimbani.
Kabul, Afghanistan - 01/08/2010. Jeshi la Kiholanzi limeanza rasmi kuondoka nchini Afghanistan, na kuwa jeshi la kwanza kutoka shirikisho la NATO kuondoka.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, August 01, 2010
0
comments
