Mahakama kuendelea kusikiliza kesi kuhusu kifo cha Michael Jackson.
Mahakama kuendelea kusikiliza kesi kuhusu kifo cha Michael Jackson.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 29, 2011
0
comments
Serikali ya mpito ya Libya kutoendelea na kesi ya mtuhumiwa wa ajali ya ndege Pan Am 103.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, September 27, 2011
1 comments
Mshindi wa Nobel ya Laureate mama Wangari Mathai hatuko naye tena.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, September 27, 2011
1 comments
Rekodi ya mbio za marathoni za Berlini ya vunjwa.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, September 25, 2011
0
comments
Wapalestina wakabidhi ombi lao la kutaka kutambulika kama taifa kwa Ban Ki-moon.
Posted by
Kibatala
at
Friday, September 23, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 22, 2011
1 comments

Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 22, 2011
0
comments
.
Chikago, Marekani - 17/09/2011. Kundi la kimataifa linaloshughulikia haki za wale wote aliotendewa maovu na kanisa Katoliki, limetaka kesi ifunguliwa zidi ya viongozi wa kanisa hilo.
Kundi hilo limepeleka malalamiko yake kwenye mahakam ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu kwa msaada wa wanasheria wa kujitokea na kudai ya kuwa vitendo vilivyo fanywa watumishi wa kanisa Katoliki vinatakiwa kufuatiliwa kisheria na viongozi walio husika na kuficha siri lazima wafikishwe mahakamani kujibu mashitaka.
Hata hivyo wanasheria wa kimataifa wana sema "itakuwa vigumu kwa mahakama hiyo kufuatilia kesi hiyo kutokana na baadhi ya vifungu vya sheria vilivyopo kuhusu uhalali wa kuendesha kesi hiyo."
Papa Benedekt alisha zungumzia hali hiyo na kusema "nikitendo cha aibu kilicho fanywa na watumishi wa Kanisa la Katoliki na kuhaidi yakuwa atalishughulikia kwa undani zaidi."
Posted by
Kibatala
at
Saturday, September 17, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Monday, September 12, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 08, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Monday, September 05, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Sunday, September 04, 2011
0
comments
Polisi wazuia maandamano ya kimageuzi nchini Uganda.
Posted by
Kibatala
at
Friday, September 02, 2011
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 01, 2011
0
comments