Tiger Woods,apata mthiani mwingine.
Tiger Woods,apata mthiani mwingine.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, March 20, 2010
0
comments
Zuma ashinda kura za maoni.
Cape Town, Afrika ya Kusini -18/03/1020. Rais wa Afrika ya Kusini ameshinda kura za maoni ambazo zilikuwa zimepigwa hivi karibuni, baada ya vyama vya upinzani kudai kura hizo zipigwe.
Vyama vya Congre of people na Democratic Alliance ndivyo viliongoza kwa kutakura za maoni zipigwe.
Kura za maoni zilizo pigwa 241 zili kubali uongozi rais Jakob Zuma, na 81 zilipinga uongozi wake.
Kura hizo ni za kwanza tangu Afrika ya Kusini kutoka katika serikali ya kibaguzi mwaka 1994.
Picha hpo juu anaonekana rais wa Afrika ya Kusini Jakob Zuma, katikati akiwa anashiriki katika mila na utamaduni wa kabila lake la Zulu ambapo huwa anashiriki kikamilifu bila kuficha.
Anyongwa kwa makosa ya kifedha.
Pyongyang, Korea ya kaskaziani - 18/03/2010. Serikali ya Korea ya Kaskazini ilimuhukumu kifo na kumyonga afiasa mmoja aneye shughulika na mswala ya fedha na uchumi baada kubainika alikuwa anakwenda kinyume na sheria.
Afisa huyo Pak Nam-ki, aliuwawa kwa kupigwa risasi.
Hata hivyohabari kutoka Korea ya Kusini zinamsema , kuuwawa kwa bwana Pak kunakuja baada ya kubainika alikuwa anapingana na sera za serikali ya mapinduni ya Korea ya Kusini.
Picha hapo juu, ni ya bendera ya Korea ya Kaskazini, nchi ambayo imekuwa ikilaumiwa kwa kukiuka haki za binadamu kila wakati.
Kitendawili cha Iran jibu bado kwa Amerika na Urusi.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, March 18, 2010
0
comments
Sony yaingia mkataba tena na (Michael Jackson) Jackson Estate.
New York, Amerika - 16/02/2010.Kampuni ya msiki ya Sony, imetiliana mkataba na Michael Jackson estate ili kuimiliki albamu kumi za marehemu Michael Jackson.
Mkataba huo wenye thamani ya $250 million ambao ni wa miaka saba.
Kwamujibu wa wachinguzi wa mabo ya muziki wanasema Sony itaweza pata faida kubwa hasa wakati wa kuazimisha siku ya kukumbuka ya kifao cha Michael Jackson.
Picha hapo juu ni ya Michael Jackson akifanya mavitu ya kujiandaa na maonyesho, enzi za uhai wake.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, March 16, 2010
0
comments
Rais wa Zimbabwe aunga mkono cham cha Consevertive.
Moghadishu, Somalia - 14/03/2010. Serikali ya Somalia inajiandaa kijeshi kukabiliana na makundi ya kijeshi yaliyopo nchini humo ambayo yame uteka mji mkuu wa Mogadishu.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, March 14, 2010
0
comments
India na Urussi kushirikiana katika kuendeleza nguvu za kinyuklia.
New Delhi, India - 13/03/2010. Serikali ya India na Urussi zimetilia sahihi mkataba wa kuanzisha ujenzi wa mitambo ya nguvu za nyuklia nchini India.
Mkataba huo ulifanyika jiji Delhi wakati waziri mkuu wa Urussi, Vladimir Putin alpo tembela nchini India.
Akiongea kuhusu mkataba huo waziri mkuu wa Urussi, Vladimir Putin alisema" tunajenga uhusiano na India hasa katika sekta ya Nyuklia."
Naye waziri mkuu wa India Manmohan Singh, alisema " uhusianowetu na Urussi ni wa uhakika katika nyanja tifauti."
Picha hapo juu wanaonekana waziri mkuu wa Urusi, Vladimir Putin kushoto akiongea na waziri mkuu wa India Manmoham Singh kulia wakati walipo kutana jijini Delhi hivi karibuni.
Kanisa Katoliki lakumbwa na kashfa nyingine nchini Ujeruman.
Munich, Ujeruman -13/03/2010. Askofu mkuu wa Kanisa Katoliki nchni Ujerumani ameomba masamahaa kwa niaba ya kanisa kutokana na matukio na matendo yaliyo tokea miaka ya nyuma.
Askofu,Robert Zollitsch,aliyasema" Kanisa lita yafanyia uchunguzi madai yote, litawapatia huduma za kiushauri wale wote walioathirika na matukio hayo."
Kuomba msamaha huo kunakuja baada ya Kanisa Katoliki kukumbwa na kashfa shutuma kubwa
kufuatia malalamiko yaliyo letwa na watu ambao waliathilika na matukio hayo yaliyo tokea ndani ya Kanisa Katoliki.
Picha hapo juu anaonekana, Askofu Mkuu Robert Zolliisch akiongea kuhusu matukio yaliyo toke ndani ya kanisa.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, March 13, 2010
0
comments
Kupinga kuvaa hijab haku mkomboi mwanamke.
Strasbourg, Ufaransa - 11/02/2010. Kiongozi mwandamizi wa shirika la kutetet haki za binadamu katika bara la Ulaya, Thomsas Hammarberg amesema " sheria za kutaka kuwazuia wakina mama kuvaa hijab za aina yoyote katika baadhi ya nchi za ulaya ni kukandamiza haki za wanawake na zinaweza kuleta athatari siku za baadaye."
Aliyaongea haya wakati wa siku ya wanawake duniani.
Akiongezea Thomsas Hammerberg, alisema "kuwazuia wanawake hao kuvaa hijab hakutaleta ukombozi wa wanawake na kunaenda kinyume na maadili ya demokrasi na hasa swala zima la uhuru wa mtu binafsi kuingiliwa katika maaamuzi yake yanayo mfaa.
Picha hapo juu wanaonekana, baadhi ya wanawake waliopa katika bara la Ulaya wamevalia hijabu amabzo zinataka kupigwa marufuku.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, March 11, 2010
0
comments
Wakazi wa Kigali wastuliwa na milipuko ya mabomu.
Kigali, Rwanda - 20/20/2010. Milipuko ya mabomu imetokea sehemu tatu tofauti katika jiji la Kigali na kusababisha kifo cha mtu mmoja na watu zaidi ya 18 kujeruhiwa na watano kati ya majeruhi hao vibaya.
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali, watu wawili wamekamatwa "hawa watu walio kamatwa ni kati ya wale watu wanaotaka kuleta vurugu kwa kutishia amani na ni watu wa kundi la Interahamwe" alisema msemaji huyo.
Hata hivyo serikali ya Rwanda imeanza uchunguzi mara moja kuhusiana na milipuko hiyo ya mabomu.
Milipuko hiyo imekuja wakati wananchi wa Rwanda wanajiaanda kufanya uchaguzi wa kumchagua rais mnamo mwezi wa August.
Picha hapo juu ni ya bendara ya Rwanda nchi ambayo miaka kumi na nane iliyo pita kulitokea mauaji kati ya watu jamii ya Watutsi na watu jamii ya Wahutu na watu wengi welipoteza maisha.
Matokea ya uchaguzi Ukrain shwali.
Kiev, Ukrain - 20/02/2010. Mgombea wa chama pinzani katika kiti cha urai wa Ukrain bi Yulia Tymoshenko amefuta kesi ya malalamiko ya madai ya kutaka matokeo ya uchaguzi kurudiwa kuhesabiwa, baada ya mpinzani wake Victor Yanukovych kushinda katika uchaguzi wa urais ulio fanyika mapema mwaka huu.
Akiongea na waandishi wa habari bi Yulia Tymoshenko alisema "Haina haja ya kuendela na kesi kwa hali halisi ya koti inajionyesha yakwa hakuna kitu kitabadilisha matokeo."
Bi Yulia Tymoshenko, alifungua kesi kwa madai ya kuwa kulikuwa kunaukiukwaji wa sheria wakati wa uchaguzi na wakati wa kuzihesabu kura.
Picha hapo juu anaonekana, bi Yulia Tymoshenko akiondoka ndani ya mahakama baada ya kusikia kesi ya madai aliyo yaleta mbele ya koti inayo shughulika kesi za sheria ya uchaguzi.
Rais wa Niger angolewa madarakani na jeshi.
Niamey, Niger - 20/02/2010. Malfu ya wananchi wameandamana jijini Niamey kuunga mkono kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mamadou Tandja.
Maandamano hayo ambayo yaliishia katika majengo ya ukumbi wa bunge la Niger kwa kuonyesha shukurani kwa jeshi kwa uamuzi wa kumtoa madarakani rais huyo, ambaye alijiongezea muda wa kuongoza nchi.
Hata hivyo jeshi la nchi hiyo limehaidi kuanda uchaguzi muda si mrefu na kurudisha madaka kwa serikali ya kiraia..
Picha hapo juu wanaonekana wanajeshi wakiwa wanaangalia usalama wakati wa maandamano.
Saga la Afghanistan lasababisha kuvunjika kwa serikali.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, February 20, 2010
0
comments
Hali ya usalama wa rais wa Niger mashakani.
Niamey,Niger - 19/02/2010. Jeshi nchini Niger limemteka nyara rais wa Niger Mamadou Tandja, baada ya kuvami makazi yake.
Kwa mujibu wa watu waliona tukio hilo walisema" walisikia milio ya risas wakti inaaminika rais alikuwa akiongoza mkutano.
Habari zinasema jeshi limemchukua rais ili atangaze kujiudhulu urais.
Niger imekuwa katika mvutano wa kisiasa, tangu rais Tandja alipo jitangazia kujiongezea madaraka, jambo ambalo halikukaribishwa na jumuia ya kimataifa.
Picha hapo juu anaonekana rais wa Niger, Mamadou Tandja, akihutubuia wanachi hivi karibuni kabla ya kukamatwa.
Rais wa Amerika akutana na Dalai Lama.
Washington, Amerika - 19/02/2010. Rais wa Amerika Baraka Obama, amekutana na kiongozi mwana harakati wa kutetet haki za Watibeti katika Ikulu ya Amerika leo.
Viongozi hawa wawili walikutana licha ya China kupinga mkutano huo wa kiongozi wa Watibeti na rais wa Amerika.
Picha hapo juu, kulia ni kiongozi wa Watibeti Dalai Lama na kulia ni rais Baraka Obama, ambao wamekuta kwa mazungumzo ya faragha katika ofisi za Ikulu.
Interpol watoa picha za washukiwa.
Riyadh, Saudi Arabia - 18/02/2010.Police wa kimataifa Interpol imetoa picha na majina ya watu ambao wanashukiwa kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa kamanda masaidizi wa kundi la Hamas, Mahmoud al Mabhouh wakati alipo kuwa nchini Dubai.
Kwa mujibu wa Intarpol "watu walio husika na mauaji hayo watakamwa kutokana na ushirikiano wa nchi tofauti."
Hata hivyo watu hao wanashukiwa kwa kutumia paspoti zisizo halisi na inasadiwa paspoti hizo ziliibiwa au kutolewa kinyume cha sheria.
Picha hapo juu ni zawatu wanaoshukiwa katika mauaji ya aliyekuwa kamanda wa wa kundi la Hamas hivi karibuni.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, February 18, 2010
0
comments
Ufaransa yafuta deni la Haiti.
Port-au-Prince,Haiti. 17/02/2010. Rais wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy amewasili nchi Haiti kwa ziara ya kiserikali na kuthmini hali halisi ya uaribufu ulio fanywa na tetemeko la ardhi lililo tokea mwamzono mwa mwaka huu.
Akiongea na viongozi wa serikali na wananchi alisema Ufaransa imefuta deni lenye thamani $ 77millions na $450 kuchangia ujenzi wa Haiti baada ya kuathirika na tetemeko la ardhi.
Picha hapo juu, anonekana rais wa Ufaransa kulia na mwenyeji wake rais wa Haiti. akikagua gwaride mapema alipo wasili nchini Haiti kuangli uharibu ulio fanywa na tetemeko la ardhi.
Argentina yaweka malipo kwa meli zote ziingiazo kwe visiwa vyake.
Buenos Aires, Argentina - 17/02/2010. Rais wa Argentina,Christina Kerchner ametia sahihi sheria itakayo lazimisha kila meli ambayo itakuwa inapita katika visiwa Malivinas na Falkland kupata ruhusa kutoka serikali ya Argentina.
Kufuatia kutiwa sahihi sheria hiyo, serikali ya Uingereza, imemwita balozi wa Argentina nchini Uingereza kujibu maswali ya kuhusu sheria hiyo mpya.
Picha hapo juu anaonekana rais wa Argentina,akiongea kuelezea hali halisi ya visiwa vya Argentina.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, February 17, 2010
0
comments
Rais wa zamani wa Amerika aruhusiwa kutoka hospitali.
New York, Amerika - 13/02/2010. Aliyekuwa rais wa Amerika, Billy Clinton ameruhusiwa kutoka hospital baada ya kufanyiwa operasheni ndogo ya ili kuruhusu damu iweze kufanya kazi yake mwilini vizuri.
Khartoum, Sudan - 13/02/2010. Kampeni za uchachaguzi zimeanza nchini Sudan kugombea kiti cha urais wa Sudan.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, February 13, 2010
0
comments
Kosta Rika yapata rais mwanamke kwa mara ya kwanza.
Santa Jose, Kosta Rika - 08/02/2010. Matokea ya uchaguzi mkuu wa Kosta Rika yamempa ushindi mkuwa mgombea uchaguzi wa kiti cha urais Bi, Laura Chinchila kwa ushindi wa asilimia 47% dhidi ya wapinzani wake.
Bi, Laura Chinchila, amekuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini Kosta Rika, aligombea kiti hicho kupitia chama tawala.
Picha hapo juu anaonekana, rais mtalajiwa wa Kosta Rika,Bi, Laura Chinchila, akiwaonyesha kidole gumba juu baada ya kutangazwa kuongoza matokeo ya uchaguzi.
Tehran, Iran - 08/02/2010. Serikali ya Iran imekabidhi waraka kwa shirika linalo shughulikia ukaguaji wa nguvu za nyuklia na kusema ya kuwa itaendelea kurutubisha madini ya nyuklia kufikia 20% kuanzia jumanne.
Kolombo, Sri Lanka - 08/02/2010. Aliyekuwa mgombea mpinzani wa kiti cha urais wa Sri La, General Fonseka ametiwa kizuizini na askari wa kijeshi.
Posted by
Kibatala
at
Monday, February 08, 2010
0
comments
Evo Morales aapishwa kuwa raia wa Bolivia
La Pazi, Bolivia - 24/01/2010. Wanachi wa Bolivia kwa maro nyingine tena wameshuhudia kuapishwa kwa raia Evo Morales kuwa rais wa nchi hiyo.
Evo Morales, alichaguliwa kufatia uchaguzi uliofanyika mwaka jana.
Kwenye sherehe hiyo iliudhuliwa na raiwa Venezuela Hugo Chavez, na rais wa Ekuador Rafael Correa.
Picha hapo juu ni rais wa Bolivia, Evo Morales, mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa Bolivia baada ya kushinda uchaguzi wa urais Bolivia.
Korea ya Kaskazini yatishia kutumia nguvu za kijeshi.
Kandahar, Afghanistan - 24/01/2010. Jeshi la NATO na washirika wake limeanza kutumia mbwa kujaribu kunusa na kutambua yaliyo tegwa ardhini.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana, zinasema yakuwa hadi kufikia hivi sasa kuna mbwa wapatao 20 na idadi hiyo itaongezeka hadi kufikia zaidi ya mbwa 200.
Mbwa hao amabo huenda wakaghalimu $ dola 40,000 kwa mwaka huwa wanafunzwa kwa muda wa miezi mitano.
Picha hapo juu anaonekana mmoja ya mbwa akiwa kazini kunusa wapi mabomu yametegwa.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, January 24, 2010
0
comments
Kiongozi wa Guinea awasili Bukinafaso kuepuka utata.
Conakri, Guinea-14/01/2010. Kiongozi wa kijeshi wa Guinea, Moussa Dadia kamara, amewasili nchini Bukinafaso kwa mujibu wa wizara ya mambo yanchi za nje wa nchini hiyo.
Moussa Dadis Kamara, aliwasili Ouagadougou siku ya Jumanne kutokea nchini Moroka ambapo alikuwa kwaajili ya matibabu baada ya kunusulika kuuwawa kwa kupigwa risasi ya kichwa na mmoja ya walinzi wake.
Kuwasili kwa Moussa Dadia Kamara nchini Bukinafaso kumekuja baada ya habari yakuwa serikali ya Moroko imekuwa ikitakiwa kumpeleka mkuu huyo wa nchini ya Guinea katika nchi za Ulaya ili ashitakiwe kwa makosa ya mauaji ya raia wakati wa maandamano yaliyo fanyika mwaka jana.
Picha hapo juu anaonekana mkuu wa jeshi na kiongozi wa Guinea, Moussa Dadis Kamara, baada ya jeshi ya kuchukua madaraka nchi Guinea japo kulipingwa na wengi.
Google hatarini kufungwa nchini China.
Beijing,China -14/01/2010.Serikali ya Chini imesema kampuni yoyote inayo taka kufanya biashara nchini humo lazima ifuate sheria za nchi -China.
Msemaji wa serikali ya China, Wang Che alisema" ikiwa kampuni ya internet itaenda kinyume na sheria ya serikali basi hatua za kisheria zitachukuliwa na hata kampuni kufungwa."
Maelezo hayo yametolewa baada ya kamuni ya mtandao ya Google kulalamika ya kuwa mitandao yake imekuwa ikishabuliwa na kushindwa kutoa huduma nzuri kwa jamii nzima iliyopo China na huenda wakafunga ofisi zao nchini humo.
Picha hapo juu in nembo ya Google nchini China, ambapo kampuni hiyo imekuwa ina vutana na serikali ya China katika kutoa huduma za kimtandao kwa wanchini wa nchi hiyo.
Viongozi wa dini nchini Yemeni watoa onyo.
Sanaa, Yemen-14/01/2010. Viongozi wa kidini nchini Yemen, wamesema yakuwa ikiwa nguvu za kijeshi zitatumika na jeshi la kigeni kuingia nchini mwao, basi litakuwa ni jikumu la kila Myameni kuilinda nchi yao kufautia sheria za dini.
Katika barua ambao imesainiwa na vingozi wa kidini wapatao 150 ulisema "itakapo fikia hatua ya nchi za nje kushambulia Yemeni, basi lazima wajue yakuwa vita vitakuwa vita vya jihadi."
Kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo ya kisiasa nchini Yemeni, wanasema" ikiwa viongozi wa kidini wameingilia swala la hali ya Yemeni, basi huenda kukalete mabadiliko makubwa na mwelekeo mzima wa kuitizama Yemeni."
Hata hivyo, Amerika na nchi za Ulaya zimekuwa ziliilaumu Yemeni kwa kuwa kituo kikubwa cha kufunzia wapiganaji wa kundi la Al-Qaeda.
Picha hapo juu ni ya jiji la Sanaa, mji mkuu wa Yemen, nchi ambayo imekuwa na mvutano wa kisiasa kwa muda mrefu
Wananchi wa Haiti wakumbwa na tetemeko la ardhi.
Port-au-Prince,Haiti -14/01/2010.Maelfu ya watu wamepoteza makazi yao na mamia kupoteza maisha baada ya tetemeko la ardhi lenye nguvu za nyuzi 7.0 kutokea nchini Haiti.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, January 14, 2010
0
comments
Timu ya taifa ya Togo yashambuliwa kwa risasi nchini Angola.
Kabinda, Angola-09/01/2010. Mashindano ya kutafuta bingwa wa mchezo wa Soka katika bara la Afrika, yaliongia dosali baada ya timu ya taifa ya Togo kushambuliwa kwa risasi na kundi linalo pigania kujitenga na kutete eneola Kabinda.
Mashambulizi hayo yalitokea wakati timu ya taifa ya Togo ilipo vuka mpaka wa Kongo na kuingia nchini Angola kwa kutumia usafiri wa basi.
Kufuatia mashambulizi hayo, dereva wa basi aliuwawa hapo hapo, kocha msaidizi alipoteza maisha baadaye na baadhi ya wachezaji kujeruhiwa vibaya.
Picha hapo juuanaonekana, kaptain wa timu ya taifa ta Togo, Emmanuel Adebayor, akisaidiwa na mmoja wa mchezaji mwenzake mara baada ya kuokolewa na vyombo vya usalama vya serikali yaAngola.
Kiongozi wa mkuu wa Iran aagiza atua kali zichukuliwe.
Tehran, Iran - 09/01/2010. Kiongozi mkuu wa Iran ameagiza vyombo vya usalama nchini Iran kuchukua hatua kali za kisheria dhidi ya viongozi wa na wanachama wa vyama pinzani vinavyo leta vurugu na kuipinga serikali.
Kiongozi huyo Ayatollah Ali Khamenei alizilaumi nchi za kigeni kwa kuchochea vurugu nchini Iran kwa kutumia vyama vya upinzani.
Hata hivyo habari kutoka kambi ya vyama vya upinzani zina sema watu wapatao 180, walikamatwa hivi karibuni wakiwepo waandishi wa habari.
Akithibitisha kukamatwa kwa watu waliokuwa wakiandamana, wakili wa serikali Abbs Jafari Dolatabadi alisema"kesi dhidi ya watu wote waliokamatwa zitaanza wiki hii."
Amani yaingia utata Sudan ya Kusini.
Khartoum, Sudan -09/01/2010. Vita vya ukabila vimeanza tena kusini mwa nchi ya Sudan, na kusababisha zaidi ya watu wapatao 139 kupoteza maisha yao.
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali Sabino Makana, alisema "vita hivyo vilitokea kati ya kabila la Nuer na Dinka wakati walipo kuwa wakigombania mifugo."
Habari kutoka ofisi za UN zinasema ya kuwa mapambano hayo yameanza mapema mwaka huu na yanaweza kuhatarisha mkataba wa amani uliokubalika miaka ya nyuma.
Picha hapo anaonekana mmoja ya mkazi wa Sudan ya kusini akiwa anachuga mifugo yake, ambayo ilikuwa chanzo cha kuzuka kwa vita vya kikabila katika eneo hilo hivi karibuni.
Aliyetaka kuilipua ndege akanusha mashitaka.
Detroit, Amerika - 09/01/2010. Raia wa Nigeria, Umar Farouk Abdulmutallab, amekanusha mashitaka yake ambayo yanamkabili kwa kutaka kulipua ndege iliyokuwa imebeba abiria ikitokea Amsterdam.
Alikanusha mashitaka hayo wakati alipo tokea mahakamani kusilikiliza mashitaka hayo.
Kufuatia kukanusha mashitaka kwa mtuhumiwa huyo kesi hiyo ilihairishwa.
Picha hapo juu ni ya mshitakiwa anayeshutumiwa kwa kutaka kulipua ndege iliyokuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Amerika.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, January 09, 2010
0
comments
Mshitakiwa wa 9/11 akataliwa rufaa.
Washington, Amerika - 05.01/2010.Mahakama ya imetupilia mbali rufaa iliyokuwa ime ombwa na mshitakiwa Zakaria Massaoui, anayeshukiwa kuhusika na mashambulizi ya Septemba 11.2001 yaliyo tokea jijini New York na kupoteza maisha ya watu wapatao 3000 na wengine kujeruhiwa vibaya.
Kufuatia uamuzi huo wa mahakama, Zakaria Massaoui ambaye ndiye mshitakiwa ataendelea kutumikia kifungo cha maisha.
Picha hapo juu ni ya mtuhumiwa wa mauaji ya Septemba 11 2001, ambaye rufaa yake imekataliwa na mahakama.
Reykjavik, Iceland - 05/01/2010. Rais wa Iceland amekataa kusaini muswada uliopitishwa na bunge la nchini hiyo ili kulipa madeni ambayo nchi hiyo inadaiwa na Uhollanzi na Uingereza.
Jimbo la Khost Afghanistan - 05/01/2010.Muaji wa kujitolea muhanga aliye sababisha vifo vya makachero wa Amerika CIA na Joradan, ametambuliwa ya kuwa alikuwa kachero aliyekuwa akifanya sehemu mbili tofauti za upererezi.
Kwazulu Natal, 05/01/2010. Afrika ya Kusin - Rais wa Afrika ya Kusini Jokob Zuma, amefunga pingu kwa mara ya nne mapema wiki hii.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, January 05, 2010
0
comments
Mwasisi wa chama tawala Tanzania aiaga dunia
Washington, Amerika - 02/01/2010. Rais wa Amerika, Baraka Obama ameseama yakuwa shambulizi lililo shindwa kufanyika siku ya Krismas kwenye ndege ya shirika la Delta ilyo kuwa ikitokea Amsterdam kuelekea Detroit lilikuwa limepangwa na kundi la Al Qaeda.
Baghdad, Irak - 02/01/2010. Serikali ya Irak, inapanga kufungua kesi dhizi ya kampuni ya ulinzi ya Blackweter ambao waliusika katika mauaji ya raia wa Irak.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, January 02, 2010
0
comments