Baraka Obama afanya ziara ya ghafla nchini Afghanistan.
Kabul, Afghanistan - 03/12/2010. Rais wa Amerika amefanya ziara ya ghafla nchini Afghanistan na kuongea na wanajeshi na raia wa Amerika wanaoshiriki kwa katika vita zidi ya Taliban na washirkia wake.
Akiongea katika hotuba hiyo rais Baraka Obama alisema "Amerika itaendelea na kupambana na wale wote ambao wanapinga maendeleo ya Amerika au kutishia usalama wa Amerika na watu wake, na hatutashindwa kamwe kuwasaka popote walipo."
Hata hivyo katika ziara hiyo rais Baraka Obama, hakuweza kukutana na rais wa Afghanistan kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya.
Picha hapo anaonekana rais wa Amerika Baraka Obama akishuka kutoka kwenye ndenge mara baada ya kuwasili nchini Afghanistan kwa mara ya pili akiwa kama rais wa Amerika ili kuwapa salamu za sikuku wanajeshi na kuelezea ni kwa jinsi gani Waamerika wote wapo pamoja nao.
Ulaya ya kumbwa na mporomoko wa barafu.
London, Uingereza - 03/12/2011. Bara la Ulaya limekumbwa na mporomoko wa barafu ambao umesababisha hali ya utoaji wa huduma kuyumba.
Barafu hizo ambazo zinaendelea kugubika karibuni Ulaya kote tokea Urussi hadi Spain limekuwa gumzo kwa wakazi wengi wa eneo hili.
Siku ya Jumanne barafu nyingi ilipolomoka na kusababisha hali ya hewa kuwa barisi hadi kufikia kati ya hasi 20 na 22.
Picha hapo juu linaonekana moja ya gari la kusafisha njia likijaribu kutoa barafu ili huduma ziweze kuendelea zilishindikana kutokana na wingi wa barafu iliyo poromoka toka angani
Friday, December 3, 2010
Baraka Obama afanya ziara ya ghafla nchini Afghanistan.
Posted by
Kibatala
at
Friday, December 03, 2010
0
comments
Thursday, December 2, 2010
Kombe la dunia mwenyeji ni Urussi 2018 na Katar 2022.
Kombe la Dunia wenyeji ni Urussi 2018 na Katar 2022.
Zuriki,Swizland-02/12/2010. Shirkisho la soka duniani limepiga kura na kuchagua nchi ambazo zita kuwa wenyeji wa fainali ya mchezo wa soka wa mwaka 2018 na 2022.
Sydney,Australia-02/12/2010. Kampuni inayohusika katika matengenezo ya injini za ndege ambazo zimekuwa zikileta matatizo na kusababisha baadhi ya injini za ndege kufanyiwa uchunguzi.
London, Uingereza - 02/12/2010. Rais wa Sri Lanka ambaye yupo ziarani nchini Uingereza ametajwa ya kuwa anahusika kwa kiasi kikubwa katika mauaji yaliotokea wakati wa vita zidi ya kundi ta TAMIL Tigers.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, December 02, 2010
0
comments
Tuesday, November 30, 2010
Mkutano wa utunzaji wa mazingira waanza kwa mashaka.
Google kufanyiwa uchunguzi na jumuia ya Ulaya.
Brussel, Umoja wa Ulaya - 30/11/2010. Kitengo cha uchunguzi cha jumuia ya muungano wa umoja wa Ulaya kinachunguza malalamiko yaliyo tolewa dhidi ya Google kwa kukutumia vibaya umezo wake.
Kwa mujibu wa makampuni mengine ya kimtando yamsema "google inavunja ushindani wa kiimtandao dhidi ya makampuni washindani."
PIcha hapo juu inaonekana picha ya mtandao wa Google ambao unalalamikiwa na washindani wake kwa kuvunja ushindani.
Mkutano wa kutunza mazingira waanza kwa mashaka.
Cancun,Mexico - 30/11/2010. Mkutano wa kutunza mazingira unaofanyika nchini Mexico umeamza kwa vishindo huku kila nchi muhusika akitaka matakwa yake yatimizwe.
Akiongea katika mkutano huo mwakilishi wa serikali ya Amerik Jonathan Pershinga alisema " tunataka kuwepo na makubaliano ya pamoja katika kudhibiti uaribifu wa mazingira duniani"
Hata hivyo msimamo huo wa Amerika umeonekana kutiliwa mashaka na baadhi ya washiriki kwa kudai kuwa hakutaleta matokeo mazuri.
Pichani hapo juu aanonekana mmoja ya washiriki wa mkutano wa mazingira unaofanyika Mexico akichora kapicha kuashiria ishara kuhusu matokeo ya mikutano iliyo fanyika hapo awali kabla wa sasa unaofanyika Cancun Mexico ambapo wajumbe wa nchi tofauti wanakutana kujadili mazingira.
Venezuela yapewa mkopo na Urussi kwa ajili ya kuimarisha maswala ya kiulinzi.
Carakas, Venezuela 30/11/2010. Serikali ya Venezuela imesema ya kuwa serikali ya Urussi itaipa mkopo wa $4 billion ambazo zitaiwezesha nchi hiyo kukuawa siraha ili kuimarisha maswala ya kijeshi na ulinzi.
Akiongea katika sherehe ya miaka 90 ya jeshi la anga rais wa Venezuela Hugo Chavez alisema "
Tumeamua kufanya hivyo ili kuendelea kulinda nchi yetu na maadui."
Picha hapo anaonekana rais wa Venezuela Hugo Chavez wakati wa kuadhimisha sherehe za maiaka 90 ya jeshi la anga ambalo ilitaongezewa nguvu.
Radi yaleta maafa na vifo ya watu nchi Afrika ya Kusini.
Kwa Zulu Natali, Afrika ya Kusini - 30/11/2010.Watu wapatao saba na wengine kujeruhiwa baada ya radi kuwashambulia wakati wakiangali jengo lilijenge kwa turubai kwaajili ya Krismas.
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali anayeshughulikia maafa Mthokozisi Duza alisema "watu walio jeruhiwa apo hospitali kwa matibabu."
Picha hapo juu inaonyesha miali ya moto iliyo tokana na radi ikishambulia Kwa zulu Natal na kusababisha maafa ya kijamii na kwa mazingira.
Rais wa Urussi atoa onyo ikiwa hakuna makubaliano na NATO.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, November 30, 2010
1 comments
Monday, November 29, 2010
Serikali ya Amerika ya shutumu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari.
Serikali ya Amerika ya shutumu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari.
Washington, Amerika - 29/11/2010. Serikali ya Amerika imeshutumu kitendo cha kuchapishwa habari za siri ambazo zimesambazwa kwenye vyombo vya habari tofauti.
Akiongea mbele ya waanshishi wa habari, waziri wa mambo ya nchi za nje wa Amerika
Hillary Clinton alisema "kitendo hicho ni kibaya na kinahatarisha usalama wa raia katika jumuiya ya kimataifa na maelezo yaote yalio elezwa katika habari hizo siyo msimamo wa serikali ya Amerika na watu wake."
Akiongea kwa kusisitiza Hillry Clinton aliendelea kwa kusema kuwa "ushirikiano uliopo kati ya serikali za kimataifa na Amerika utazidi kudumishwa na kushinda kitendo hicho ambacho siyo kizuri cha kusikitisha."
Picha hapo juu anaonekana waziri mambo ya nje wa Amerika Hillary Clinton akiongea na waandhishi wa habari kuhusu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari zilizo tolewa na WIKI LEAKS.
Serikali ya Iran yazishutumu nchi za Magharibi mara baada ya mauaji ya mwansayansi wake.
Tehran, Iran 29/11/2010. Rais wa Iran ameshutumu serikali za magharibi baada ya kutokea mauaji ya mwanasayansi wake wa kinyuklia ambaye ameuawawa na bomu lililo tengwa kwenye gari lake.
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 29, 2010
0
comments
Sunday, November 28, 2010
Wiki Leaks yaja na habari mpya za kustusha.
Wiki Leaks yaja na habari mpya za kustusha
Washington, Amerika- 28/11/2010. Serikali ya Amerika imekilaani kitendo cha shirika la habari lijulikanalo kama Wiki Leaks kwa kutoa habari za siri kwanye mtandao wake na kusambaza kwa mashirika mengine ya habari.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, November 28, 2010
0
comments
Saturday, November 27, 2010
Waziri mkuu wa Lebanoni awasili nchini Iran
Waziri mkuu wa Lebanoni awasili nchini Iran.
Pyongyang, Korea ya Kaskazini - 27/11/2010. Serikali ya Korea ya Kaskazini imeonya kwa kusema ya kuwa "kitendo cha serikali ya Korea ya Kusini kufanya mazoezi ya kijeshi kwa pamoja na majeshi ya Amerika yanaweza kuleta tukio lisilo tabilika"
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 27, 2010
0
comments
Saturday, November 20, 2010
Iran yasema yafanikwa kutengeneza roketi ya ulinzi
Iran yasema yafanikwa kutengenza roketi ya ulinzi.
Tehran,Iran 20/11/2010. Maofisa wa kijeshi wa serikali ya Iran wamedai wamafanikiwa kutengeneza roketi ya kiulinzi na kuifanyia majaribio wakati wa mazoezi ya siku tano ya kijeshi.
Akiongea Brigedia Meja General Mohammad Hassan Mansouria alisema " kwa kutumia maalifa ya wanasayansi wa hapa nyumbani tumeweza kutengeneza roketi kwa jina S-200 ambayo ni kwa ajili ya ulinzi na inauwezo sawa na ile ya Urussi S-300. Akisisitiza zaidi Brigadia huyo alisema katika mazoezi hayo tuliweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa katuika maswala ya ulinzi na mashambulizi ya maadui.
Mazoezi ya kivita ya Irani yalianza siku ya Jumanne kwa madhumuni ya kuangalia ni kwa jinsi gani jeshi hilo tiyali kwa mashambulizi ya aina yoyote.
Picha hapo juu inaonekana moja ya roketi ya Kiiran ikipaakuelekea angani baada ya kulipuliwa wakati wa mazoezi ya kivita ya jeshi la Iran.
Sahara ya Magharibi, Morokko - 20/11/2010. Serikali ya Morokko imetetea kitendo cha serikali yake kuvamia kambi za wananchi ambao wanaishi katika maeneo ya Sahara ya Magharibi na kudai yalikuwa ya kuleta amani.
Lisboa, Ureno 20/11/2010. Viongozi wa NATO wanakutananchini Ureno ili kujadili na kupanga mipango ya kukabidhi maswala ya ulinzi kwa Wananchi wa Afghanistan.
Akiongea wakati waufunguzi wa makutano huo katibu mkuu wa NATO Anders Fogh Rasmussena alisema "mafanikio ya mkutanao huu ni kuhakikisha wananchi wa Afghanistan wanaweza kuongoza na kulinda nchi yao na kukabidhi madaraka yote ya ulinzi kuwa mikononi mwa. na kuendelea kudumisha ushirikiano na wananchi wa Afghanistan."
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 20, 2010
0
comments
Wednesday, November 17, 2010
Mamiliioni ya Waislaam washerekea sikukuu ya Hajji
Mamilioni ya Waislaam washerekea sikukuu ya Hajji
Makka, Saud Arabia 17/11/2010.Mamilion ya Waumini wa dini ya Kiislaam wamasherekea siku ya Iddi Al Hajj.
Baghdad, Irak 17/11/2010.Rais wa Irak Jalal Talabani amsema hatasaini ruhusa ya kutaka kunyongwa aliye kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na naibu waziri mkuu Tarik Aziz.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, November 17, 2010
0
comments
Monday, November 15, 2010
NATO kuanza kuukabidhi usalama na ulinzi kwa Waafghanistan.
NATO kuanza kuukabidhi usalama na ulinzi kwa Waafghanistan.
Washington,Amerika - 15/11/2010. Serikali ya Amerika pamoja wa washiriki wake wa NATO zimeaanza kupanga plani ya ulinzi nchini Afghanistan kabla ya kwa kipindi cha miezi 18- 24.
Kwa mujibu wa habari kutoka ofisi za serikali jijini Washington zinasema " kuna police wapatao 260,000 ambao watakuwa tayari kuchukua majukumu ya ulinzi na usalama na inatarajiwa kufukia 2014 maswala ya usalama na ulinzi yatakuwa chini ya Waafghanistan wenyewe."
Picha hapo juu wanaonekana polisi wa Afghanistan akiwa katika ulinzi ikiwa ni moja ya mikakati ya ulinzi kwa msaada wa NATO.
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 15, 2010
0
comments
Saturday, November 6, 2010
Kikwete aapishwa kuwa rais wa Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Kikwete aapishwa kuwa rais wa Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Dar es Salaam, Tanzania - 06/11/2010.Watanzania wameshuhudia kuapishwa kwa mara nyingine tena kwa Jakaya Kikwete kuwa rais kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 06, 2010
0
comments
Wednesday, November 3, 2010
Baraka Obama na Demokratik wazidiwa kete na Republikan.
Baraka Obama na Demokratik wazidiwa kete na Republikan.
Washington, Amerika - 03/11/2010. Matokeo ya uchaguzi nchini Amerika yamemalizika nchini Amerika na chama cha Republikan kupata ushindi dhidi ya chama cha Demokratik.
Tel Aviv, Izrael - 03/11/2010. Serikali ya Izrael imesema haitafanya mazungumzo na Uingereza kutokana na sheria ambayo inaruhusu mahakama kuwashitaki maafisa wa Izrael ambao watatembelea Uingereza kwa kuhusishwa na makosa ya kivita..
Washington, Amerika - 03/11/2010. Aliyekuwa rais wa Amerika George Bush anatarajiwa kutao kitabu chake ambacho kiteelezea hali halisi wakati wa uongozi wake mpaka hapo alipo mwachia ofisi rais wa sasa Baraka Obama.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, November 03, 2010
0
comments
Tuesday, November 2, 2010
Somalia yapata waziri mkuu mpya.
Somalia yapata waziri mkuu mpya.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, November 02, 2010
0
comments
Monday, November 1, 2010
Wabrazil wamchagua rais mwanamama kuingoza nchi yao
Wabrazil wamchagua rais mwanamama kuiongoza nchi yao
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 01, 2010
0
comments

