Madrid, Uhispania - 26/05/2011.Serikali ya Uhispania imepokea maombi kutoka serikali ya Libya ya kutaka kuwepo na mazungumzo ya kusimamisha vita vinavyo endelea nchini Libya.
Habari kutoka ofosi ya waziri mkuu wa Uhispania, zinasema " tumepokea mswaada kutoka serikali ya Libya ambao unaomba kuwa na mazungumzo ya kuleta amani nchini Libya."
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, waziri mkuu wa Libya Al-Baghdadi al Mahmoud "alisema serikali ya ke ingependelea kuanza mazungumzo ya kuleta amani na kusimamisha mashambulizi nchini Libya yanayofanywa na NATO."
"Na Muammar Gaddafi bado na atakuwa kiongozi wa LIbya, na kama Gaddafi akiondolewa kwa kutumia nguvu, basi hakutakuwepo na Libya watu wanayo tarajia."
Hata hivyo, kundi la upinzani linalo pinga serikali ya Gaddafi, linadai lazima kiongozi huo ataoke madarakani na ndipo amani ipataikane.
Thursday, May 26, 2011
Serikali ya Libya kuitaka Uhispania katafuta njia ya luleta amani.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, May 26, 2011
0
comments
Wednesday, May 25, 2011
Obama na Cameron kupambana na Gaddafi hadi mwisho.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, May 25, 2011
0
comments
Tuesday, May 17, 2011
Luis Moreno Ocampo ataka Muammar Gaddafi afikishwe mahakamani.
Den Haag, Uhollanzi , 16/05. 2011. Wakili wa mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi zidi ya kukiukwa haki za binadamu, amewaomba majaji wa mahakama hiyo watoe rukhsa ya kukumatwa kwa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi, mtoto wake wa pili Saif al Islam na mkuu wa usalama wa taifa Abdullah Senussi.
Luis Moreno Ocampo, aliyasema haya mbele ya waandishi wa habari, kwa kusema " upo ushaidi wa kutosha ya kuwa haki za binadamu zimekiukwa na serikali ya kiongozi huyo tangu kuanza kwa mvumo wa kutaka aaondoke madarakani."
Akiwakilisha na kuonyesha kurasa zipatazo 74 ambazo ameziwakilisha katika mahakama jijini Den haag (Hague), na zimeelezea ushaidi wa kutosha wa kukiukwa kwa haki za binadamu nchi libya na uongozi wa Muammar Gaddafi.
Muamar Gaddafi ambaye ametawala Libya zaidi ya miaka 40, amekumbwa na wimbi lililotokea kwemye maoenao ya Afrika ya Kaskazini baada wanachi kutaka demokrasi na mageuzi ya kisiasa.
Mkurugenzi mkuu wa IMF akataliwa dhamana na mahakama.
New York, Marekani - 16/05/2011. Halimu wa mahakama jijini New York amemkatalia kumpa dhamana mkurungenzi mkuu wa shirika la fedha duniani (IMF) Internaltional Monetary Fund.
Mkurugenzi hyo kwa IFM, Dominik Strauss-Kahn, amekataliwa dhamana hiyo na jaji kwa madai huenda akaondoka nchini humo kwa kutumia ndege.
Dominik Strauss anakabiliwa na shitaka la kutaka kumbaka mmoja wa mfanyakazi wa hotel aliyo kuwa amelala na anatarajiwa kurudi mahakamani Mei 20.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, May 17, 2011
1 comments
Sunday, May 15, 2011
Serikali ya Amerika kuchunguza shirika la ulinzi la raia wa Amerika.
Abudhabi, UAE - 15/02/2011. Serikali ya Amerika imeanza uchunguzi zidi ya mwanzilishi wa shikika la ulinzi lililo julikana kama Blackwater na sasa kama Xe, baada ya ya habari kuenea yakuwa amekodishwa ilikutoa ushauri wa kiulinzi na kuunda majeshi katika nchi tofauti.
Erick Prince, ambaye ndiye mwanzilishi wa shirika la ulinzi la Blackwater, anesemekana amtiliana sahii mkataba na nchi za Kolombia na nchi nyingine ili kampuni yake ijulikanayo kwa sasa Xe kusaidia kupambana na wale wote wanaopinga serikali hizo.
Kwa mujibu habari kutoka serikali ya Amerika zinasema " inaangalia sheria ipi iliyo vyunjwa kwa raia wa Amerika kutoa mafunzo ya kijeshi nje ya Amerika."
Vile vile kunahabri nyingine ambazo zinasema "shirika hilo aliwaajili watu wenye imani ya Kiislaam
kwa kuofia ya kuwa watu waimani hiyo hawatakuwa tayari kushambuliana waislaam wenzao."
Shirika hilo ambalo limekuwa linato ajira kwa walinzi na wapiganaji walio acha kazi za kijeshi na ulinzi lili wahi kukumbwa na kashfa ya kuuhusika katika mauaji yaliyo tokea nchi Irak mwaka 2007.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, May 15, 2011
0
comments
Mkurugenzi wa IMF akabiliwa na shitaka la ubakaji.
Umoja wa mataifa waagiza kutotupa vyakula ovyo.
Hong Kong, China - 15/05/2011. Shirika la umoja wa mataifa linalo shughulikia maswala ya kilimo na chakula duniani limeagiza tabia ya kutupoteza au kuharibu vyakula usimamishwe mara moja.
Kwa mijibu wa shirika hilo limesema, "nchi tajiri na watu matajiri ndiyo huwa wanatupa au kuharibu vyakula kwa wingi kuliko wale watu masikini na nchi masikini."
Kwa kuongea habari hizo zimesisitiza zaidi ya asilimia thelathini, huwa kuharibiwa karibu kila mwaka duniani kutokana na kutokuwa makini.
Mkurugenzi wa IMF akabiliwa na shitaka la ubakaji.
New York, Amerika - 15/05/2011. Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la kutathmini maswala ya fedha namisaada ya kifedha -Internaltional Monetary Fund(IFM) amefunguliwa mashitaka.
Dominik Strauss Kahn, alikamatwa na polisi baada ya muhudumu mmoja katika hotel aliyo kuwa amefikia kudai yakuwa alisumbiliwa kijinsia na mkurugenzi huyo.
Msemaji wa polisi, Ryan Sesa alisema, Dominik Strauss Kahn, amekamatwa na polisi wakati akiwa njiano kuelekea uwanja wandege.
Hata hivyo mwansheria wa Dominik Strauss, amesema "mteja wake atakana shitaka hilo."
Domink Strauss, ambaye inasemekana alikuwa mmoja ya wale viongozi waliokuwa wamepanga kugombe akiti cha urais wa Ufaransa mwaka 2012 ili kuchuana na rais wa sasa.
Marekani ya sema Walibya ndiyo wataamua uongozo wao
Washington, Marekani - 15/05/2011. Viongozi wa serikali ya upinzani wa Libya wameondoka kwa shingo upande baada ya selikali ya Amerika kushindwa kuikubali kimsaada wa hali na mali.
Kwa mujibu wa habari kutoka ikulu ya Marekani zinasema, "serikali ya Amerika haiwezi kuitambua au kuuutambua uongozi huo, kwani uamuzi huo upo mikononi mwa wanachi wa Libya kuwachagua viongozi wao."
Hata hivyo serikali ya Amerika, imesisitiza msimamo wake wake wakuunga mkono wanchi wa Libya katika harakati za kuleta mabadiliko ya kisiasa na demeokrasia.
Wakati huo huo wataalamu wa mabo ya kisiasa, kidiplomasia na uchumi, wanasema "vita vinavyo endelea nchini Libya, vinasababishwa na nchi zenye hisa nchini humo, nahasa nia kubwa ni kuhakikisha Urussi na China zisitawale maeneo hayo kiuchumi."
Posted by
Kibatala
at
Sunday, May 15, 2011
1 comments
Sunday, May 1, 2011
Papa John Paul afanywa kuwa mteule.
Vatican City,Vatican - 01/05/2011. Kanisa Katoliki limetangaza rasmi yakuwa aliye kuwa Papa John Paul wa Pili amekuwa mteule rasmi.
Kufanywa huko kuwa mteule kumekuja baada ya ushahidi kutolewa ya kuwa alikuwa ni mtu wa aina ya pekee.
Mmoja ya watu waliotoa ushahidi huo, ni sista wa Marie Simon Pierre ambaye alisema yakuwa "alitibiwa na Papa John Paul kupitia maombi."
Sherehe hiyo iliudhuliwa na viongozi wa serikali na wakidini akiwemo rais wa Zimbabwe Robert Mugabe na mkewe.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, May 01, 2011
1 comments
Mashambulizi ya jeshi la NATO laua mtoto wa Gaddafi.
Tripol, Libya- 01/05/2011. Ndege za jeshi la NATO zimeshambulia makazi ya rais wa Libya na maisha ya watu waliokuwepo katika jengo hilo.
Kwa mujibu wa msemaji wa serikali Moussa Ibrahim, amesema " Mashambulizi yaliyo fanywa na NATO yameuwa mtot wa mwisho wa kiume Saif al Arab Gaddafi wa Kanali Muammar Gaddafi na wajukuu zake watatu."
"Kijana aliye uwawa alikuwa anasoma nchini Ujerumani na hakuwa anahusika na mambo ya kisiasa na hii inaonyesha yakuwa NATO na washiriki wake wanataka kumwua kiongozi wetu. Lakini hata hivyo Koingozi Kanali Muammar Gaddafi yeye na mke wake ni wazima."
Mashambulizi dhidi ya serikali ya Libya yalinza li kusinikisha kiongozi wa nchi hiyo kuacha kuwashambulia raia wa Bhengazi na kuachia madaraka ambayo amekuwa akiyashikiria zaidi ya miaka arobaini.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, May 01, 2011
0
comments
Friday, April 29, 2011
William na Catherine wafunga pingu za maisha.
Bwana na bibi harusi William na Catherine wakipeana kisss, kuchuuum mbele za mamia kuashiria ya kuwa wao niwapendanao.
Bwana na bibi harusi William na Catherine wakionekana kwa mara ya kwanza mbele za mamia kama mke na mume mbele ya baraza katika makazi yao.
Mania walikuwepo kushuhudia kuchumooo kisss wa kukata na shoka.
Ishara ya yote kukamilika, bwana na bibi harusi walivalishana pete ikiwa ni haadi ya kuwa wamekuwa kama mke na mume
Picha hapo juu wanaonekana bwana hariusi William na bibi harusi Catherine wakiwa katika mkokoteni wa asili ambao unavyutwa na farasi njiani kueekea nyumbani kwa mapumziko , huku bwana harusi akikitoa tabasamukisi, baada ya kukabidhiwa mke wake na wazazi wa binti.
Hapa wanaonekana bwana harusi William na bi harusi Catherine wakila kiapo kwa pamoja mbele ya kasisi.
Baada ya harusi, bwana na bibi harusi wanatoka kanisani wakiwa kama mume na mke, na huku wakiwa wanatizamana kwa tabasamu la mahaba.

Picha hapo juu, baba wa Catherine, Middleton akimwakilisha mwanae mbele ya Kasisi tayari kula kiapo kumtwaa William kama mme wake, na huku kulia kwao mume wake Willy na mdogo wake Hurry wakimakini tayari kusikia habari njema toka kwa Catherine.

Picha, hapa inaonekana mdogo wa Willy, Hurry akimwambia kaka yeke sasa unakwenda kuwa mme wa mtu, na kaka yake Willy akisema yaaa naenda kuanza maisha mapya mdogo wangu, hata hivyo wewe ni mgodo wangu na ndugu yangu milele.
Posted by
Kibatala
at
Friday, April 29, 2011
0
comments
Monday, April 25, 2011
Taliban wavunja jela na kutoroka.

Posted by
Kibatala
at
Monday, April 25, 2011
0
comments
Friday, April 22, 2011
Ndege aina ya Drone kuanza kutumika nchini Libya.
Posted by
Kibatala
at
Friday, April 22, 2011
0
comments
Sunday, April 17, 2011
Serikali ya Kuba kufanya mabadiliko ya kisiasa.
Serikali ya Kuba kufanya mabadiliko ya kisiasa.
Havana, Cuba -17/04/2011. Rais wa Kuba ametangaza mabadiliko ya kisiasa ambayo yatakayo fanyika nchini humo.
Tehran, Iran 17/04/2011.Serikali ya Iran imetangaza yakuwa inampango wa kujenga meli kebu ambayo itatumika katika kukagua na kulinda mipaka yake katika pwani ya kusini mwa nchi hiyo.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, April 17, 2011
0
comments
Friday, April 15, 2011
Obama,Sarkoz na Kameron tutahakikisha Gaddafi anang'oka.
Obama, Sarkoz na Kameron tutahakikisha Gaddafi anang'oka.
London, Uingereza 15/04/2011. Viongozi wa Uingereza, Ufaransa na Amerika wamekubaliana kwa pamoja kuundeleza mapambano dhidi ya kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.
Posted by
Kibatala
at
Friday, April 15, 2011
0
comments
Wednesday, April 13, 2011
Viongozi wakutana Katar kutathmin hali ya Walibya.
Nchi zinazo ongoza kukua kwa uchumi dunia zakutana nchini China.
Hainan, China 13/04/2011. Viongozi wa serikali na mabenk wamekutana nchi China ili kuangalia kiundani njia bora ya kuimarisha sekta ya bishara ya kifedha na uchumi.
Doha,Katar - 13/04/2011. Viongozi wa kundi la upinzani linalo pingana na serikali ya Libya wamekutana na viongoziwa nchi tofauti nchi Katar ili kujadili hali halisi ya mapambano yanayo endelea ili kung'oa madarakani kiongozi wa Libya MuammarGaddafi.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, April 13, 2011
0
comments
Monday, April 11, 2011
Jeshi la Alassane Ouattara la mkamata Laurent Gbagbo.
Jeshi la Alassane Ouattara la mkamata Laurent Gbagbo.
Abidjan, Ivory Coast -11/04/2011.Jeshi la upinzani linalo ongozwa na Alassane Ouattara, kwa kushirikiana na jeshi la Ufaransa limefanikiwa kumkamata aliyekuwa rais wa Ivory Coast baada ya kuvamia makazi yake.
Posted by
Kibatala
at
Monday, April 11, 2011
0
comments
Iceland yasumbua vichwa vya wafadhili wake.
Iceland yasumbua vichwa vya wafadhili wake.
Posted by
Kibatala
at
Monday, April 11, 2011
0
comments
Thursday, April 7, 2011
Mahakama ya Hague yaanza kesi za machafuko ya Kenya.
Mahakama ya Hague yaanza kusikiliza kesi za machafuko ya Kenya.
Tokyo, Japan -07/04/2011. Tetemeo kubwa la ardhi limeikumba tena Japan baada ya tetemeko la kwanza ambalo limeleta maafa makubwa.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, April 07, 2011
1 comments
Wednesday, April 6, 2011
Uingereza ya kubali baadhi makosa.
Uingereza ya kubali baadhi ya makosa.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, April 06, 2011
1 comments
Tuesday, April 5, 2011
Mke wa Ratko Maladic aiambia mahakama mume wake huenda amefariki.
Mke wa Ratko Mladic aiambia mahakama mume wake huenda amefariki.
Belgrade,Serbia - 05/04/2011. Mke wa aliyekuwa kiongozi kivita vilivyo tokea nchi za Balkan amefikishwa mahakani ili kujibu mashitaka ya kukutwa na siraha. Bosijlika Mladik, ambaye alifikishwa mahakamani, aliiambia mahakama ya kuwa siraha hizo ziliwekwa na mumewe na aliwazuia kugusa kabati hilo.
Port-au-Price, Haiti 05/04/2011.Matokeo ya uchaguzi nchi Haiti yametangazwa na aliyekuwa mwanamusiki maharufu nchini humo kushinda katika kiti cha kugombania uchaguzi wa rais.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, April 05, 2011
1 comments
Sunday, April 3, 2011
Mahaka ya kimataifa yakataa kesi iliyofunguliwa na Georgia.
Mahakama ya kimataifa yakataa kesi iliyo funguliwa na Georgia.
Hague, Uhollanzi - 03/04/2011. Mahakama ya kimataifa ya umoja wa mataifa imekataa kesi iliyo letwa na serikali ya Georgia zidi ya Russia.
Habari kutoka mahakama hiyo zinasema " mahakama haiwezi kuendelea na kesi kutokana na baadhi ya mazungumzo haya kufanyika na kuchunguzwa."
Kesi hiyo ulifunguliwa na serikali ya Georgia baada ya jeshi la Urussi kuivamia Georgia ili kuzuia mauaji dhidi ya wakazi wa Abkhazia na Kusini Ossetia.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, April 03, 2011
0
comments
Friday, April 1, 2011
Wafanyakazi wa Umoja wa mataifa wavamiwa.
Wafanyakazi wa Umoja wa mataifa wavamiwa.
Mazar-el-Sharif, Afghanistan -01/04/2011. Ofisi za umoja wa mataifa nchini Afghanistan zimevamiwa na waandamanaji ambao walikuwa wanapinaga kitendo cha mchungaji mmoja kuchoma Kuraan.
Posted by
Kibatala
at
Friday, April 01, 2011
0
comments
