Kiongozi wa Korea ya Kaskazini ampa madaraka ya chama mtoto wake.
Pyongyang, Korea ya Kaskazini - 29/09/2010. Kiongozi wa serikali ya Korea ya Kaskazini amemteua mtoto wake wa kiume kushika nyazifa zake za uongozi wa chama nchi humo.
Kiongozi wa Korea ya Kaskazini ampa madaraka ya chama mtoto wake.
Pyongyang, Korea ya Kaskazini - 29/09/2010. Kiongozi wa serikali ya Korea ya Kaskazini amemteua mtoto wake wa kiume kushika nyazifa zake za uongozi wa chama nchi humo.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, September 29, 2010
0
comments
Rais Robert Mugabe ataka Afrika ipewe kiti cha kudumu.
UN, New York 27/09/2010. Rais wa Zimbabwe ametaka bara la Afrika lipewe kiti katika baraza la usalama la umoja wa Mataifa.cha kudumu
Rais Robert Mugabe alisema "ni kitu kisichokubalika na wala kueleweka kwa bara la Afrika kuwa nara pekee lisilokuwa na kiti cha kudumu katika baraza la usalama la umoja wa matifa na ihii inaleta kutokuwa na usawa kihistoria"
Kamati ya usalama ya umoja wa Mataifa ina wakilishwa na Uingereza, Marekani, China, Urussi,France na wawakilishi kumi ambao uchaguliwa kila baada ya miaka miwili na watano kubadilishwa kila mwaka.
Picha hapo juu anaonekana rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe akihutubia kwenye mkutano wa umoja wa mataifa katika kikao cha 65 cha umoja huo wa mataifa 2010.
Serikali ya Ufaransa ya haidi kuwaokoa raia wake waliotekwa nyara.
Bamako, Mali - 27/09/2010. Serikali ya Ufaransa iko mbioni iki kuwaokoa raia wa Ufaransa ambao wametekwa nyara na kundi la Maghreb ambao linashirikiana na kundi la Alqaeda.
Kwa mujibu wa msemaji wa ofisi ya rais alisema" tunaamimini ya kuwa raia waliotekwa na kundi hilo bado wazima na niwajibu wa serikali kuokoa maisha ya raia wake"
Pichani anaonekana rais wa Ufaransa ambaye serikali yake inafanya kila mbinu kuwaokoa raia wake waliotekwa nyara na kundi la Maghreb.
Paris, Ufaransa - 27/09/2010. Rais wa taifa la Wapalestina amesema ya kuwa hatasimamisha mazungumzo na serikali ya Izrael kwa sasa ili kutoa muda wa kusimamishwa ujenzi wa makao mapya ya Waizrael.
Posted by
Kibatala
at
Monday, September 27, 2010
0
comments
Baraka Obama asisitiza ushirikiano kutatua mgogoro wa Mashariki ya Kati.
New York, Amerika- 23/09/2010. Rais wa Amerika amezitaka jumuia za kimataifa kushirikiana ili kuleta amani kati ya Waisrael na Wapalestina.
UN,New-York - 23/09/2010. Rais wa Iran imeitaka dunia kutangaza mwaka 2011 kuwa mwaka wa kuhangamiza na kuharibu siraha zote za mabomu ya kinyuklia kote duniani.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, September 23, 2010
0
comments
Mzozo wa kidini waleta hali ya wasiwasi Indonesia.
Jakarta, Indonesia - 19/09/2010. Mamia ya waumini wa dini ya Kikristu wame kiuka amri iliyo wekwa na polisi kuwataka wasiudhulia misa kutokana na sababu za kiusalama.
Kwa mujibu wa kiongozi mmoja wa kanisa la Batak Christian Church alisema "tunataka haki
ya kuomba Mungu, kwani tukikataliwa tutakuwa tunanyimwa haki zetu."
Picha hapo juu wanaonekana baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu ambao walikusanyika pamoja kumuomba Mola.
New York, UN - 19/09/2010. Umoja wa Mataifa umetoa ropoti ya kuwa nchi zilizopo kusinu mwa jangwa la Sahaha zimejitahidi kupambana na usaambaa wa ugonjwa wa ukimwi.
Kwamujibu wa hahabiri UN zinasema "uambukizwaji wa ugonjwa huo umepungua kwa asilimia 25 katika nchi ambazo zilikuwa zinaongoza kwa kusambaa kwa ugonjwa huo."
UN ilisisitiza haya ni matokeo ya kampeni na mipango mbinu ambayo imesaidia katika kupunguza uasambaaji wa ugonjwa huo.
Picha hapo juu wanaonekana baadhi ya watu wakiwa katika kampeni ya kupambana na ugonjwa wa ukimwi.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, September 19, 2010
0
comments
Viongozi wa Iran wakutana na viongozi wa Afrika.
Tehran, Iran - 14/09/2010. Rais wa Iran amezitaka nchi za Afrika "kutafuata uhuru kamili iki kuepukana na uchumi tegemezi ambao unakuja kwa masharti.
Rais Mahmoud Ahmadinejad aliyaongea hayo wakati alipokuwa akifungua mkutano uanawakutanisha viongozi wa Afrika na wa Iran ili kujadili ushirikiano wa karibu.
Picha hapo huu inawaonyesha viongozi wa Afrika wakiwa na rais wa Irani mara wakati wa mkutano.
Sharm el Sheikh. Misri-14/09/2010. Viongozi wa Izrael na Palestina wamekutana leo ili kwa mara ya pili tangu kuanza kwa mazungumzo kujadili swala zima la usalama la eneo hilo.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, September 14, 2010
0
comments
Waamerika wawakumbuka waliopeteza maisha Septemba 11.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, September 11, 2010
0
comments
Bi, Julia Gillard kuiongoza Australia.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, September 07, 2010
0
comments
Paul Kagame aapishwa kuwa rais wa Rwanda kwa muhula wa pili.
Kigali, Rwanda - 06/09/2010. Wanachi wa Rwanda wameshuhudia kwa mara nyingine tena kuapishwa kwa rais aliyechaguliwa baada ya uchaguzi mkuu kumaliziaka tangu kutokea mauaji ya kimbari mwaka 1994.
Paul Kagame 52, ameapishwa kuwa rais wa Rwanda kwa mara ya nyingine tena, baada ya kushsinda uchaguzi mkuu iliyo shirikisha vyama vingi.
Akiongea baada ya kuapishwa, rais Paul Kagame, alisema "umefikia wakati wa Afrika kujisimamia wenyewe na hakuna kipya cha kujifunza kutoka nchi za Ulaya."
Sherehe hizo ziliuzuliwa na vingozi wa nchi jirani, Afrika na wageni wengine waaalikwa.
Pichas hapo juu anaonekana rais Paul Kagame akiapa kuwa rais wa Rwanda kwa mara ya pili.
Tel-Aviv, Izrael - 06/09/2010. Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Izrael, Avigdor Lieberman, amesema mazungumzo na makubaliano ya kuleta amani kati ya Waizrael na Wapalestina yatachukua miaka au kufikia kizazi kijacho.
Posted by
Kibatala
at
Monday, September 06, 2010
0
comments
Fidel Castro ataadharisha dunia na nguvu za nyuklia.
Havana, Kuba - 05/09/2010. Rais wa zamani wa Kuba Fidel Castro, ameitaadhalisha dunia kuhusu hali iliyopo ambayo nchini zenye nguvu za kinyuklia zitaendelea kusukumana na Iran basi huenda zikaamua kutumia nguvu za kinyuklia jambo ambalo litahatarisha dunia kwa ujumla.
Fidel Castro 84, akihutubia mbele ya watu wapatao 11,000 alisema " ikiwa Amerika na washirki wake wataendele kuiwekea Iran vikwazo kutokana na nchi ya Iran kutokubaliana na matakwa yao ( Amerika) na washiriki wake kunaleta wakati mgumu na hivyo wakati umefika watu wote duniani washirikiane kuzuia matumizi ya nguvu za kinyuklia yasitumike."
Picha hapo juuanaonekana Fidel Castro akiwasalimia baadhi ya watu waliohudhulia wakati wa hotuba yake.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, September 05, 2010
0
comments
Hali ya usalama nchini Somalia yazidi kushutua dunia.
Mogadishu,Somalia - 01/09.2010. Wakazi wa mji wa Mogadishu wamekuwa katika hali ya wasiwasi tangu kundi la al-Shabaab kuaendelea kushambulia mji la Mogadishu
Kundi la al Shabaab lilitangaza hivi karibuni ya kuwa linaanza mashambulizi rasmi kushambulia majeshi yote ya kigeni ambayo yamo nchini humo.
Picha hapo juu wanaonekana baadhi ya watu wakiwa wanamsaidia mama mmoja ambaye alipata mshituko mara baada ya kundi la al Shabaab kuanzisha mashambulizi.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, September 01, 2010
0
comments
Kenya yazaliwa upya.
Nairobi, Kenya 27/08/2010. Wananchi wa Kenya, leo hii wameshuhudia kutiwa sahii katiba mpaya ya nchi hiyo.
Kwenye sherehe hiyo iliyo udhuliwa na viongozi na marais wa nchi jirani, rais wa Kenya Mwai Kibaki, aliapishwa tena ilikuiongoza Kenya chini ya katiba mpya.
Kukubalika kwa mabadiliko ya katiba ya Kenya ni matokeo ya kura za maoni zilizo pigwa hapo awali na ambapo wananchi wa Kenya waliowengi walikubali katiba ya nchi ifanyiwe mabadiliko.
Picha hpo juu anaonekana rais wa Kenya Mwai Kibaki, akinyanyua juu katiba mpya ya Kenya, mara baada ya kutia sahii kupitishwa kwa katiba hiyo mpya.
Posted by
Kibatala
at
Friday, August 27, 2010
0
comments
Wairani washangilia uzinduzi wa nguvu za kinyuklia.
Tehran, Iran 21/08/2010. urussi na Iran zimeanza kwa pamoja urutubishaji wa madini kwa aajili ya kuimarisha na kuongeza nguvu za siahati ya kinyuklia.
Akiongea katika ufunguzi huo makamu wa rais wa usimamizi wa nyuklia, Ali Akbar Salehi, alisema " mradi huu umesimamiwa na serikali ya Iran na serikali ya Urussi na nihatua ya kimaendeleo kwa wanachi wa Iran."
Naye waziri wa mabo ya nje wa Urussi Sergi Lavrov alisema, uzinduzi wa mradi huu wa kinyuklia ni muhimu kwa Iran kwani wanachi wa Iran watafaidika kimaendeleo."
Picha hapo juu anaonekana mwanamama wanasayansi wa mabo ya kinyuklia akikagua kwa makini ni jinsi gani mashine zinavyo fanya kazi.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, August 21, 2010
6
comments
Wanyarwanda wa mchagua tena Paul Kagame.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, August 11, 2010
1 comments
Pentagon wataka Wikileaks kurudisha nyaraka za siri.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, August 08, 2010
0
comments
Wakenya wakubali mabadiliko ya Katiba ya nchi.
Nairobi, Kenya - 05/08/2010. Matokeo ya uchaguzi wa kura ya maono yaliyolenga kubadirisha katiba ya nchi yamekubaliwa kwa asilimia kubwa.
Kampala, Uganda - 05/08/2010. Aliyekuwa rais wa Uganda Godfrey Binaisa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Hague,Uhollanzi-05/08/2010. Mahakama inayoshughulikia kesi za ukiukwaji wa haki za kibinadmu duniani leo imemuhoji mwanamitindo maharufu duniani Naomi Campbell.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, August 05, 2010
0
comments
Mkuu wa polisi ahukumiwa jela miaka 15.
Beiruti, Lebanon - 03/08/2010. Jeshi la Lebanoni na jeshi la Izrael wametupiana risasi na kusababisha majeruhi ya wanajeshi wanne wa Lebanoni na vifo vya watu watono mmoja wapao akiwemo mwandishi wa habari.
Kwa mujibu wa habari zilizo patikana zinasema mashambulizi hayo yalianza wakati jeshi la Izrael lilipo kuwa lina jaribu kukata miti iliyopo mpakani na Lebanoni.
Picha hapo juu wanaonekana wahudunu wa huduma ya kwanza wakimkimbiza mmoja wa majeruhi mara baada ya kujeruhiwa.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, August 03, 2010
0
comments
Desmond Tutu kujihudhuru kazi za kiofisi.
Cape -Town, Afrika ya Kusini - 01/08/2010. Aliyekuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Agrikan nchini Afrika ya Kusini na mshindi wa zawadi ya Amani ya Laureate Desmond Tutu ametangaza ya kuwa atajihudhuru na kutumia muda mwingi na familia yake.
Akiongea hayo Askofu mstahafu alisema, "Nita kuwa nasiku moja ya kiofisi hadi hapo mwaka 2011 Februari.
Askofu Desmond Tutu alikuwa mmoja wa viongozi waliopinga ubaguzi wa rangi.
Picha hapo juu anaonekana Askofu mstahafu, ambaye ifikapo 2011 Februari atakuwa na muda mwingi wa kukaa na familia yake na kusimulia hadithi kwa wajukuu.
Washukiwa wa mauaji ya Kampala kizimbani.
Kabul, Afghanistan - 01/08/2010. Jeshi la Kiholanzi limeanza rasmi kuondoka nchini Afghanistan, na kuwa jeshi la kwanza kutoka shirikisho la NATO kuondoka.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, August 01, 2010
0
comments
David Cameron ataka Uturuki kuwa mwanachama wa EU.
Ankara, Uturuki - 31/07/2010. Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, amesisitiza umuhimu wa Uturuki kujiunga na jumuia ya nchi za Ulaya.
London, Uingereza - 31/07/2010. Mwana mitindo maharufu duniani Naomo Campbell, amewaajili wanasheria maharufu duniani, kumtetea katika kutoa ushahidi kwenye koti ya mahakama inayo shughulikia kesi za ukiukwaji wa haki za binadamu iliyopo jijini Hague, nchini Holland.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, July 31, 2010
0
comments
Rais Obama amteua mkuu wa majeshi mpya kuongoza NATO.
Washington,USA - 23/06/2010. Rais wa Amerika Baraka Obama, ametangaza kujiudhulu kwa General Stanley McChrystal kuwa kiongozi mkuu wa majeshi ya NATO na kumteua General David Petraeus kuchukua nafasi yake.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, June 23, 2010
0
comments