Serikali ya Amerika ya shutumu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari.
Washington, Amerika - 29/11/2010. Serikali ya Amerika imeshutumu kitendo cha kuchapishwa habari za siri ambazo zimesambazwa kwenye vyombo vya habari tofauti.
Akiongea mbele ya waanshishi wa habari, waziri wa mambo ya nchi za nje wa Amerika
Hillary Clinton alisema "kitendo hicho ni kibaya na kinahatarisha usalama wa raia katika jumuiya ya kimataifa na maelezo yaote yalio elezwa katika habari hizo siyo msimamo wa serikali ya Amerika na watu wake."
Akiongea kwa kusisitiza Hillry Clinton aliendelea kwa kusema kuwa "ushirikiano uliopo kati ya serikali za kimataifa na Amerika utazidi kudumishwa na kushinda kitendo hicho ambacho siyo kizuri cha kusikitisha."
Picha hapo juu anaonekana waziri mambo ya nje wa Amerika Hillary Clinton akiongea na waandhishi wa habari kuhusu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari zilizo tolewa na WIKI LEAKS.
Serikali ya Iran yazishutumu nchi za Magharibi mara baada ya mauaji ya mwansayansi wake.
Tehran, Iran 29/11/2010. Rais wa Iran ameshutumu serikali za magharibi baada ya kutokea mauaji ya mwanasayansi wake wa kinyuklia ambaye ameuawawa na bomu lililo tengwa kwenye gari lake.
Monday, November 29, 2010
Serikali ya Amerika ya shutumu uchapishwaji wa habari za siri kwenye vyombo vya habari.
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 29, 2010
0
comments
Sunday, November 28, 2010
Wiki Leaks yaja na habari mpya za kustusha.
Wiki Leaks yaja na habari mpya za kustusha
Washington, Amerika- 28/11/2010. Serikali ya Amerika imekilaani kitendo cha shirika la habari lijulikanalo kama Wiki Leaks kwa kutoa habari za siri kwanye mtandao wake na kusambaza kwa mashirika mengine ya habari.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, November 28, 2010
0
comments
Saturday, November 27, 2010
Waziri mkuu wa Lebanoni awasili nchini Iran
Waziri mkuu wa Lebanoni awasili nchini Iran.
Pyongyang, Korea ya Kaskazini - 27/11/2010. Serikali ya Korea ya Kaskazini imeonya kwa kusema ya kuwa "kitendo cha serikali ya Korea ya Kusini kufanya mazoezi ya kijeshi kwa pamoja na majeshi ya Amerika yanaweza kuleta tukio lisilo tabilika"
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 27, 2010
0
comments
Saturday, November 20, 2010
Iran yasema yafanikwa kutengeneza roketi ya ulinzi
Iran yasema yafanikwa kutengenza roketi ya ulinzi.
Tehran,Iran 20/11/2010. Maofisa wa kijeshi wa serikali ya Iran wamedai wamafanikiwa kutengeneza roketi ya kiulinzi na kuifanyia majaribio wakati wa mazoezi ya siku tano ya kijeshi.
Akiongea Brigedia Meja General Mohammad Hassan Mansouria alisema " kwa kutumia maalifa ya wanasayansi wa hapa nyumbani tumeweza kutengeneza roketi kwa jina S-200 ambayo ni kwa ajili ya ulinzi na inauwezo sawa na ile ya Urussi S-300. Akisisitiza zaidi Brigadia huyo alisema katika mazoezi hayo tuliweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa katuika maswala ya ulinzi na mashambulizi ya maadui.
Mazoezi ya kivita ya Irani yalianza siku ya Jumanne kwa madhumuni ya kuangalia ni kwa jinsi gani jeshi hilo tiyali kwa mashambulizi ya aina yoyote.
Picha hapo juu inaonekana moja ya roketi ya Kiiran ikipaakuelekea angani baada ya kulipuliwa wakati wa mazoezi ya kivita ya jeshi la Iran.
Sahara ya Magharibi, Morokko - 20/11/2010. Serikali ya Morokko imetetea kitendo cha serikali yake kuvamia kambi za wananchi ambao wanaishi katika maeneo ya Sahara ya Magharibi na kudai yalikuwa ya kuleta amani.
Lisboa, Ureno 20/11/2010. Viongozi wa NATO wanakutananchini Ureno ili kujadili na kupanga mipango ya kukabidhi maswala ya ulinzi kwa Wananchi wa Afghanistan.
Akiongea wakati waufunguzi wa makutano huo katibu mkuu wa NATO Anders Fogh Rasmussena alisema "mafanikio ya mkutanao huu ni kuhakikisha wananchi wa Afghanistan wanaweza kuongoza na kulinda nchi yao na kukabidhi madaraka yote ya ulinzi kuwa mikononi mwa. na kuendelea kudumisha ushirikiano na wananchi wa Afghanistan."
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 20, 2010
0
comments
Wednesday, November 17, 2010
Mamiliioni ya Waislaam washerekea sikukuu ya Hajji
Mamilioni ya Waislaam washerekea sikukuu ya Hajji
Makka, Saud Arabia 17/11/2010.Mamilion ya Waumini wa dini ya Kiislaam wamasherekea siku ya Iddi Al Hajj.
Baghdad, Irak 17/11/2010.Rais wa Irak Jalal Talabani amsema hatasaini ruhusa ya kutaka kunyongwa aliye kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na naibu waziri mkuu Tarik Aziz.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, November 17, 2010
0
comments
Monday, November 15, 2010
NATO kuanza kuukabidhi usalama na ulinzi kwa Waafghanistan.
NATO kuanza kuukabidhi usalama na ulinzi kwa Waafghanistan.
Washington,Amerika - 15/11/2010. Serikali ya Amerika pamoja wa washiriki wake wa NATO zimeaanza kupanga plani ya ulinzi nchini Afghanistan kabla ya kwa kipindi cha miezi 18- 24.
Kwa mujibu wa habari kutoka ofisi za serikali jijini Washington zinasema " kuna police wapatao 260,000 ambao watakuwa tayari kuchukua majukumu ya ulinzi na usalama na inatarajiwa kufukia 2014 maswala ya usalama na ulinzi yatakuwa chini ya Waafghanistan wenyewe."
Picha hapo juu wanaonekana polisi wa Afghanistan akiwa katika ulinzi ikiwa ni moja ya mikakati ya ulinzi kwa msaada wa NATO.
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 15, 2010
0
comments
Saturday, November 6, 2010
Kikwete aapishwa kuwa rais wa Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Kikwete aapishwa kuwa rais wa Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Dar es Salaam, Tanzania - 06/11/2010.Watanzania wameshuhudia kuapishwa kwa mara nyingine tena kwa Jakaya Kikwete kuwa rais kwa kipindi kingine cha miaka mitano.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, November 06, 2010
0
comments
Wednesday, November 3, 2010
Baraka Obama na Demokratik wazidiwa kete na Republikan.
Baraka Obama na Demokratik wazidiwa kete na Republikan.
Washington, Amerika - 03/11/2010. Matokeo ya uchaguzi nchini Amerika yamemalizika nchini Amerika na chama cha Republikan kupata ushindi dhidi ya chama cha Demokratik.
Tel Aviv, Izrael - 03/11/2010. Serikali ya Izrael imesema haitafanya mazungumzo na Uingereza kutokana na sheria ambayo inaruhusu mahakama kuwashitaki maafisa wa Izrael ambao watatembelea Uingereza kwa kuhusishwa na makosa ya kivita..
Washington, Amerika - 03/11/2010. Aliyekuwa rais wa Amerika George Bush anatarajiwa kutao kitabu chake ambacho kiteelezea hali halisi wakati wa uongozi wake mpaka hapo alipo mwachia ofisi rais wa sasa Baraka Obama.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, November 03, 2010
0
comments
Tuesday, November 2, 2010
Somalia yapata waziri mkuu mpya.
Somalia yapata waziri mkuu mpya.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, November 02, 2010
0
comments
Monday, November 1, 2010
Wabrazil wamchagua rais mwanamama kuingoza nchi yao
Wabrazil wamchagua rais mwanamama kuiongoza nchi yao
Posted by
Kibatala
at
Monday, November 01, 2010
0
comments
Saturday, October 30, 2010
Mizigo inayo sadikiwa kuwa na bomu yapatikana
Mizigo inayo sadikiwa kuwa na bomu yapatikana.
Dubai, UAE - 30/10/2010. Makachero wa UAE na makachero wa kimataifa wa nchi za Uingereza na Amerika wamefanikiwa kuukamata mizigo ambao inasadikiwa ilikuwa ndani ya ndege tayari kuelekea Amerika.
Kwa mujibu wa habari zilizo patikana zinasema "mizigo hiyo ilikuwa imetokea nchini Yamen. Mizigo hiyo likutwa na aina fulani ya unga PETN ambao unasadikiwa ungetumika kuleta madhara."
Picha hao juu inaonekana moja ya ndege ya kubebea mzigo ikiwa inafanyiwa ukaguzi mara ya habari kupatikana ya kuwa kuna moja ya ndege za kubebea mizigo imebeba mzigo wenye bomu.
Kabul,Afghanistan - 30/10/2010. Serikali ya Afghanistani imekubali kuongeza muda wa kuwepo kwa makampuni ya ulinzi ya kibinafsi.
Santa Cruz,Argentina - 30/10/2010. Aliyekuwa rais wa Argentina Nestor Kirchner azikwa nyumbani kwao alikozaliwa Rio Gallegos.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, October 30, 2010
0
comments
Tuesday, October 26, 2010
Tarik Aziz ahukumiwa kifo na mahakama kuu nchini Irak.
Tarik Aziz ahukumiwa kifo na mahakama kuu nchini Irak.
Baghdad, Irak 26/10/2010. Mahakama kuu nchini Irak imemuhukumu adhabu ya kifo aliyekuwa waziri wa mambo ya nchi za nje na naibu waziri mkuu wakati wa utawala wa rais Saddam Hussein.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, October 26, 2010
0
comments
Sunday, October 24, 2010
China huenda ikatumia kura yake ya veto.
China huenda ikatumia kura yake ya veto.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, October 24, 2010
0
comments
Friday, October 15, 2010
Venezuela ya saini mkataba na Urussi kujenga mitambo ya nguvu za kinyuklia.
Michezo ya 19 ya jumuia ya Madola yamalizika nchini India.
New Delhi, India 15/10/2010. Mashindano ya 19 ya nchi za jumuia ya Madola yamemalizika rasmi leo nchini India.
Moscow, Urussi - 15/10/2010.Serikali ya Venezuela imetiliana sahii mkataba na serikali ya Urussi kujenga mtambo wa nguvu za kinyuklia nchini Venezuela.
Milima ya Alps , Uswis 15/10/2010. Uchimbaji wa barabara chini ya milima ya Alps ambayo itakuwa barabara ndefu duniani kupita ndani ya mlima imemalizika.
Posted by
Kibatala
at
Friday, October 15, 2010
0
comments
Thursday, October 14, 2010
Kazi ya uokoaji yamalizika salama nchini Chile
Kazi ya uokoaji yamalizika salama nchini Chile.
Atacama, Chile 14/10/2010. Waokoaji wamefanikisha kazi ya kuwaokoa wafanyakzi 33 waliokuwa wamekwama kutoka katika migodi iliyopo kwenye jangwa la Atacama baada ya kukwama ndani ya machimbo ya migodi kwa zaidi ya miezi miwili .
Beiruti, Lebanon-14/10/2010. Rais wa Iran amewahutubia maelfu ya Walebanoni kwa nyakati tofauti tangu kuanza kwa ziara yake ya kiseikali nchini humo.
Rais wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad katika hotuba zake aliwasifu wananchi wa Lebanon kwa kusema "ujasiri wane wa kutokukubali kuonewa na ndiyo imekuwa changamoto katika eneo zima la Mashariki ya Kati."
Seoul, Korea ya Kusini - 14/01/2010. Mamia ya watu wameandamana katika jiji la Seoul kupinga kitendo cha kiongozi wa serikali ya Korea ya Kaskazini kumteua mtoto wake kushika madaraka yake.
London Uingereza - 14/10/2010. Waziri Mkuu wa Uingereza amekutana na Mkuu wa Majeshi wa Amerika anayesimamia vita vya Afghanistan ili kupata muafaka kuhusu kifo cha raia mmoja wa Uingereza.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, October 14, 2010
0
comments
