Rais wa Syria ahutubia na wanachi baada ya maandamano.
Syria, Damascus - 30/03/2011. Rais wa Syria amelihutubia taifa siku kadhaa baada maandamano yaliyo fanyika nchini humo kutaka mageuzi.
Wednesday, March 30, 2011
Rais wa Syria ahutubia wananchi baada ya maandamano.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, March 30, 2011
0
comments
Tuesday, March 29, 2011
Viongozi wakutana kujadili hali halisi ya Libya.
Viongozi wakutana kujadili hali halisi ya Libya.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, March 29, 2011
1 comments
Friday, March 25, 2011
NATO kuongoza mapambano zidi ya Libya.
NATO kuongoza mapambano zidi ya Libya.
Daraa, Syria - 25/03/2011. Maafias wa usalama nchini Syria wamewashambulia waandamanaji ambao wanataka serikali ifanya mageuzi ya kisiasa.
Posted by
Kibatala
at
Friday, March 25, 2011
0
comments
Wednesday, March 23, 2011
Jerusalem ya kutwa na mlipuko wa bomu.
Jerusalemu ya kutwa na mlipuko wa bomu.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, March 23, 2011
0
comments
Monday, March 21, 2011
Vladmil Putin alaani mashambulizi zidi ya LIbya.
Vladmil Putin alaani mashambulizi zidi ya Libya.
Moscow, Urussi 21/03/2011. Waziri mkuu wa Urussi amezilaumu nchi za magharibi kwa kitendo chake cha kuishambulia Libya.
Posted by
Kibatala
at
Monday, March 21, 2011
1 comments
Sunday, March 20, 2011
Mashambulizi nchini Libya ya zidi kupamba moto.
Mashambulizi nchini Libya ya zidi kupamba moto.
Paris, Ufaransa - 20/03/20. Jeshi la Ufaransa kwa kushirikiana na washiriki wake wanaenedelea na mashambulizi kwa kutumia jeshi la anga ilikuzuia jeshi la Muammar Gaddafi.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, March 20, 2011
0
comments
Monday, March 14, 2011
Saudu na washirki wake wavamia Bahrain.
Saudia na washiriki wake wavamia Bahrain.
Posted by
Kibatala
at
Monday, March 14, 2011
0
comments
Thursday, March 10, 2011
Dalai Lama kuachia madaraka hivi karibuni.
Dalai Lama kuachia madaraka hivi karibuni.
Dharamshala,India - 10/03/2011.Kiongozi wa kiimani ambaye ni mzaliwa wa himaya za Tibeti ametangaza atajiudhulu maswala yote ya kisiasa.
Paris, Ufaransa - 10/03/2011. Serikali ya Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza kuitambua serikali ya upinzani inayo mpinga kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, March 10, 2011
0
comments
Saturday, March 5, 2011
Waganda waombeleza kutokwa na kiongozi wao.
Waganda waombeleza kutokwa na kiongozi wao
Posted by
Kibatala
at
Saturday, March 05, 2011
0
comments
Monday, February 28, 2011
Kairo, Misri - 28/02/2011. Serikali ya Misri imezua familia ya rais wa zamani wa Misri kusafiri nje ya nchi kufuatia uchunguzi unaoendelea.
Posted by
Kibatala
at
Monday, February 28, 2011
0
comments
Saturday, February 26, 2011
Umoja wa mataifa kuwekea vikwazo serikali ya Libya.
Umoja wa mataifa kuwekea vikwazo serikali ya Libya.
New York, Marekani - Kamati ya usalama ya umoja wa Mataifa imekutana ili kujadili muswada wa kuiwekea vikwazo serikali ya Libya.
Abidjani, Ivory Coast-26/02/2011. Milio ya risasi imesikika katikati ya jijila Abidjani na kuwafanya wakazi wake kukimbia kwenye maficho huku katibu mkuu wa umoja wa mataifa akionya kuibuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, February 26, 2011
0
comments
Thursday, February 24, 2011
Rufaa ya mwanzilishi wa WikiLeaks yakataliwa.
Rufaa ya mwanzilishi wa WikiLeaks yakataliwa.
Hague, Holland 24/02/2011. Mahakama ya kimataifa inayoshughulikia kesi za Yugoslavia imemuhukumu aliyekuwa mkuu wa polisi Serb kwa miaka zaidi ya miongo miwili.
Posted by
Kibatala
at
Thursday, February 24, 2011
0
comments
Tuesday, February 22, 2011
Muhammar Gaddafi asema hatoki madarakani
Muhammar Gaddafi asema hatoki madarakani.
Tripol, Libya - 22/02/2011. Rais wa Libya melihutubia taifa la Libya na kusema hataondoka nchi na yupo tayari kufa kwa ajili ya nchi yake.
Moscow, Urussi - 22/02/2011.Rais wa Urusi ameonya ya kuwa mabadiliko ya kisiasa yanatotokea katika nchi za kiarabu yanaweza kuleta athali kubwa.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, February 22, 2011
1 comments
Friday, February 18, 2011
Milipuko yatokea nchini Tanzania
Milipuko yatokea nchini Tanzania
Posted by
Kibatala
at
Friday, February 18, 2011
0
comments
Wednesday, February 16, 2011
Kachero alidanganya kuhusu uwezo wa Saddam Hussein.
Kachero alidanganya kuhusu uwezo wa Saddam Hussein.
Berlin, Ujeruman - 16/02/2011. Wabunge nchini Ujerumani wameonya ya kuwa hunda kachero aliyejulikana kwa jina la Curveball akawekwa kizuizini mara baada ya kusema ya kuwa alidanganya.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, February 16, 2011
0
comments
Monday, February 14, 2011
Wasafiri wa anga wapata chombo kipya.
Wasafiri wa anga wapata chombo kipya.
Posted by
Kibatala
at
Monday, February 14, 2011
0
comments
Sunday, February 13, 2011
Rais wa zamani wa Pakistani ashitakiwa.
Kiongozi wa Palestina ajiudhulu kazi yake.
Ramallah, Palestine - 13/02/2011. Msemaji mkuu wa serikali ya Wapalestine amejiudhulu katika kazi yake baada ya habari zilizo patikana kwenye vyombo vya habari zimetokea kwenye ofisi yake.
Saeb Erakat, ambaye amekuwa msemaji mkuu wa serikali ya Wapalestina kwa muda mrefu, amekuwa akiandamwa na mlolongo wa lawama ya kuwa amekuwa hafanya kama anavyotakiwa hasa katika majadiliano ya kuleta amani na Waizrael.
Habari ambazo zilipatikana kwenye vyombo vya habari hivi karibuni zimeonyesha jinsi gani viongozi wa Palestina wanavyo jadiliana katika majadiliano ya amani na Waizrael ambayo yamesimama kutokana na tofauti za misimamo.
Rais wa zamani wa Pakistani ashitakiwa.
Posted by
Kibatala
at
Sunday, February 13, 2011
0
comments
Saturday, February 12, 2011
Rais wa Misri Hosni Mubaraka ajiudhuru urais.
Rais wa Misri Hosni Mubaraka ajiudhuru urais.
Kairo, Misri - 12/02/2011. Sherehe, shangwe vigeregere vilivyo andamana na vilio vilisikika nchi zima mara baada ya makamu wa rais wa Misri Omar Suleiman kutangaza ya kuwa rais Hosni Mubaraka amejiudhuru na kukabidhi madaraka mikononi mwa jeshi.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, February 12, 2011
0
comments
Wednesday, February 9, 2011
Wakili wa Charles Taylor aondoka mahakamani.
Wakili wa Charles Taylor aondoka mahamani.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, February 09, 2011
0
comments
Saturday, February 5, 2011
Thamani ya Euro kuimarishwa kwa kila hali.
Thamani ya Euro kuimarishwa kwa kila hali.
Brussels, Ubelgiji 05/02/2011. Mkutano wa viongozi wa jumiya ya Ulaya umeamua kuahakikisha thamani ya pesa ya Uero in tengemaa.
Kairo, Misri -05/02/2011. Waandamanaji nchini Misri bado wanashikiria haja yao kutaka rais sasa kutoka madarakani.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, February 05, 2011
0
comments
Wednesday, February 2, 2011
Rais Mubaraka kutogombania urais tena.
Rais Mubaraka kutogambinia urais tena.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, February 02, 2011
0
comments
Tuesday, February 1, 2011
John Kerry ataka rais wa Misri kuachia madaraka.
New York, Marekani - 01/02/2011. Mbuge na kiongozi muhimi katika chama cha Demokratik cha Marekani amemtaka rais wa Misri kujiudhuru.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, February 01, 2011
0
comments
Saturday, January 29, 2011
Maandamano yafanya rais wa Misri kuvunja serikali.
Maandamano yafanya rais wa Misri kuvunja serikali.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, January 29, 2011
1 comments
Friday, January 28, 2011
Serikali ya Misri ipo njia panda.
Nelson Mandela aruhusiwa kutoka hospital.
Johannesburg, Afrika ya Kusin - 28/01/2011. Aliyekuwa rais wa kwanza baada ya kuanguka kwa utawala wa kibaguzi wa makaburu ameruhusi kutoka hospital Mill Park ambako alikuwa amekwenda kwa matibabu.
Nelson Mandela mwenye umri wa miaka 92 alikuwa hospitalini kwa matibabu baada ya kutojisikia vizuri kiafya.
Makamu wa rais Kgalema Motlanthe aisema " Mandela ana nafuu na alikuwa anataniana nasi na tuzidi kumwombea afya yake iwe nzuri."
Picha hapo juu anaonekana Winnie Mandela akitokea hospital kumwangalia mumewe Nelson Mandela ambaye alikuwa amelazwa hospital.
Serikali ya Misri ipo njia panda.
Kairo, Misri 28/01/2011.Maelfu ya wananchi nchini Misri wameandamana kupinga serikali iliyopo madarakani na huku polisi wakipambana na waandamaji kwa kutumia gasi na maji.
Posted by
Kibatala
at
Friday, January 28, 2011
0
comments
Wednesday, January 26, 2011
Uchumi wa dunia kujadiliwa tena Davos.
Uchumi wa dunia kujadiliwa tena Davos.
Davos,Swiss - 26/01/2011. Viongozi wa serikali, wafanya biashara,,wanasiasa na wanauchumi, wanakutana nchi Uswisi ili kujadili mpangilio mzima wa uchumi dunia. Mkutano huo ambao utachukua siku tano, unatarajiwa kujadili mbinu za kuinua uchumi baada ya mtikiso mkubwa wa uchumi ulio ikumba dunia miaka miwili iliyo pita.
Kwa mujibu wa wachunguzi wa maswala ya kiuchumi wanasema " inabidi katika mkutano huu viongozi, wanasiasa,wafanya biashara na wanauchumi watafute ufumbuzi wa kuinua uchumi na siyo kuweka ahadi ambazo zimekuwa ziki tawaliwa na mzunguko wa siasa na hai halisi ya kiuchumi.
Picha hapo juu ni mji wa Davos, ambao viongozi wa nchi tofauti, wafanya biashara, wanasiasa na wanauchumi wanakutana kujadili hai halisi ya uchumi duniani.
Tunis,Tunisia - 26/01/2011. Polisi wa kimataifa wameombwa kukamata aliye kuwa rais wa Tunisia, mkewe na washiriki wa karibu wa familia yake ili wajibu mashitaka mbele ya mahaakama.
New York, Amerika - 26/01/2011. Umoja a Mataaifa umeombwa kuchangia mbinu mbadala za kupambana na maharamia waliopo katika pwani ya Somalia hadi kufikia pwani za Afrika ya Mashariki na kuanzisha koti maarumu itakayo husika na kesi za kiaaramia.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, January 26, 2011
0
comments
Tuesday, January 25, 2011
Serikali ya Palestina yakanusha kuridhia Waizrael.
Ukanda wa Magharibi, Palestina - 25/01/2011. Serikali ya Wapalestina imekanusha vikali habari zilizo patikana ya kuwa uongozi huo umeridhia swala Wakimbizi wa Kipalestina.
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, January 25, 2011
0
comments
Saturday, January 22, 2011
Tony Blair awelwa kiti moto tena.
Tony Blair awekwa kiti moto tena
London, Uingereza - 22/01/2011. Aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza wakati wa vita vya Irak na kumtoa madarakani hayati Saadam Hussein ameojiwa kwa mara nyingine tena na tume ya uchunguzi wa mwenendo mzima wa vita vya Irak.
Tony Blair ambaye alikuwa waziri mkuu wa Uingereza, chini ya serikali yake alishirikiana na serikali ya Amerika iliyo kuwa ikiongozwa na rais George Bush na kumn'goa madarakani rais Saadam Hussein wa Irak.
Akiongea mbele ya tume hiyo Tony Blair alisema " nasikitika kwa kwa wale wote waliopoteza maisha au kuathirika kutokana na vita hivi." Na nilimwahidi rais wa Amerika ya kuwa kutakuwa bega kwa bega katika vita hivi kwani niliamini Saadam Hussein alikuwa kiongozi hatri kwa jumuia ya kimataifa."
Uingereza na Amerika kwa kushirikiana na washiriki wengine ziliongoza vita vilivyo vikia kungólewa madarakani kwa rais wa Irak, Saadam Hussein.
Picha hpo juu ni ya aliye kuwa waziri mkuu wa Uingereza Tony Blair ambaye aalikuwa akijibu maswali kutoka katika tume ya kuchunguza mwenendo mzima wa vita vya Irak.
Paris,Ufaransa - 22/01/2011. Kiongozi wa kundi la Al Qaeda ametishia na kuitaka serikali ya Ufaransa kutoa wanajeshi wake aliopo katika nchi za Kiislaam.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, January 22, 2011
0
comments

