Muuaji wa kujitolea muhanga afa nchini Mali
Habari kutoka kwa msemaji wa kijeshi zinasema " mapigano hayo yaliaanza karibu na kituo cha polisi na baadaye muuaji wa kujitolea kujilipua karibu na kizuizi kilicho wekwa barabarani."
Mji wa Gao ambao hapo awali ulikuwa umerudishwa mikononi mwa jeshi la serikali unaelekea kuwa kituo cha waasi hao wa Kiislam kwani inaaminika bado wapo katika baadhi ya vijiji vilivyopo kwenye mji huo.
Wairan wapo imara asema rais Mahmoud Ahmadinejad.
Tehran, Iran - 10/02/2013.Rais wa Iran amesisitiza ya kuwa Wairan hawata tikiswa na mtu yoyote na lolote wanalo fanya ni kwaa ajili ya kuendeleza nchi yao na si kwaa ya kutishia nchi nyingine.
Rais Mahmoud Ahmedinejad aliyasema hayo wakati akuhutubia maelfu waliokusanyika katika bustani ya Azadi ili kuadhimisha miaka 34 tangu mapinduzi ya kuuong'oa utawala wa uliokuwa unakubalika na serikali za Magharibi.
"Leo maadui wanafanya kila njia ili kuzuia taifa la Iran kufanya maendeleo ya kisayansi kwa kutumia kila njia ,kalini hadi sasa wameshindwa na tutazidi kuendeleza uwekezaji wa kisanyansi ili kizazi cha Wairan wajao wawe na msingi imara." Aliongezea rais Ahmadinejed
Iran imekuwa na mvutano na serikali za magharibi kuhusu mpango wa mradi wake wa kinyuklia., jmabo ambalo serikali za magharibi zi na shukia ya kua Iran inampango wa kutengeneza siraha za kinyuklia na huku serikali ya Iran ikipinga shukuma hizo.
No comments:
Post a Comment