Wednesday, October 10, 2007

Wanapo ungana wakina mama akiaharibiki kitu

Wana mama waunganapo akiaribiki kitu. Hii ina thibitisha hapo pichani, ni nyuzi bin vitus Kutoka kulia ni Britney, Madonna,na Christina wakifanya vitu vyao hivi karibuni huko Amerika ,kwa kutoa burudani isiyo kifani kwa washabiki wao. "moja ni nguvu wajameni" Zawadi ya Emmy ndoto ya wana nyota wengi. "Ndoto ya kila msanii ni kushinda zawadi hii ya Emmy" Picha ya sanamu uionayao hapo pichani, ni zawadi ambayo kila mwana sanaa wa muziki ndiyo ndoyo yake kuipata. Kama unavyo ona mkeke mwekundu uandaliwa kila mwaka kwaajili ya wasanii watakao kuja kuonyesha mavitu yao hapo siku ya siku. Hisia na misuri midogo kuwacheza wasanii kuipata zawadi hii. Haya mambo hayo.

007 James Bond kuingizwa kweye jumuia maarufu ya Hall of Fame.

Mcheza sinema wa zamani bwana Roger Moore, maarufu kwa sinema zake za kikachero ama 007 kama zinavyo julikana, amaetunukiwa zawadi ya heshima, ya kuwa kati ya watu watakaokumbukwa kwa kuingizwa kwe jumba la watu maarufu(Hall of Fame). Hapa anaonekana bwan Roger Moore akiongea baada ya kutunukiwa hadhi hiyo. Jordani haina ubaya na wakimbizi wa Iraki. Serikali ya Kifalme ya Jordani imeazimia kwakila hali kusaidia wakimbizi wote wano tokea Iraki, hasa wakina dada na wasichana, ambao kwao huwa vigumu. Jordani ni nchi mojawapo inawakimbizi wengi ambao wanakimbia vita huko Iraki. Kufuatia tamko hili, limesaidia saana kuwapa nafasi wairaki wengi kuendelea na masomo yao ugenini. Hapa anaonekana msichana wa kiiraki akielezwa kitu fulani na mwalimu wao. Madonna kupata ulaji mpya. Mwana muziki maarufu dunianai Madonna, anatarajiwa kuingia mkataba wa million $120na kampuni nyingine ya muziki ijulikanayo kama ( Entertainment Promoter Live Natinal Inc) na kuiancha kampuni yake ya zamani Warner Music Group Corp. Kwenye mkataba huu, Madonna atapata million $18 na baadaye kiasi cha $million 17 kama kianzio kila takapo toa albam tatu mpya. Mama Madonna anaonekana akifurahiha, kwani hali siyo mbaya, Je bado jicho lake lipo Afrika? Paparazzi na vifo cha Diana na Dodi Majaji wanaoshughulikia kesi iliyo sababisha vifo vya Diana na Dodi, wanangalia kwa undani picha zilizo pigwa na paparazi wakati na kabla ya ajali. Pichani ni gari ya aina ya benzi amabayo inaonekana kuacha barabara na kubamiza ukuta. Mkweli siku zote huwa na nafasi kataiak jamii. Bi,Dorris Lessing mwandishi maarufu duniani wa kuandika vitabu ya kusisimua, ameshinda zawadi Nobel Prize, ya kuwa mwandishi bora na kuelimisha jamii. Moja ya vitabu vyake kama The Golden Notebook ambacho alikitoa 1962. Mama huyu ambaye alikuwa mwiba hasa kwa kukosoa jinsi gani binadamu anavyo mnyanyasa binadamu mwingine. Hapa anaoneka bi Doriss akitabasamu kwa ufuraha, kwani dunia imetambua yale aliyo kuwa akiya ongea.
Mwanamuziki wa enzi la Beatle alipa million. Kwa wale wanaojua nini maana ya kupenda au kupendwa, huwa ni vigumu kuamiani mapenzi ya mekwisha. Kwani kuna mambo mengi hufanyika kwa wapendanao, kama mabusu nakadhalika. Haya yamemkuta mmoja ya wanamuziki maarufu duniani wa kundi la (THE BEATLE), Poul McCartney ambaye ametengana na mke wake ambaye walioana miaka minne iliyo pita. Kutengana huko, kutamtoa bwana McCartney kiasi cha kitita kipatacho Million 100 kwa ajili ya kumlea mtoto wao. Hapa bwana,McCartney akielekea kwenye koti ili kukamilisha matengano yao. Amerika na Uturuki zawekana matatani. Hali ya utata kati ya Uturuki na Amerika, umefikia kwenye hali ngumu, baada baadhi ya viongozi wa wabunge nchini Amerika, kusukuma kupitishwa mauaji ya Warmenia, hapo miaka ya nyuma. Na sasa Ankra (Uturuki), imenza kuwatafuta wapiganaji PKK,ambao wapo upande wa Iraki. Hii imeifanya serikali ya Amerika , kutojua la kufanya kuzuia hali hii,kwani serikali ya Amerika ina hisi kuingia kwa Uturuki nchini Iraki, kutaleta usalama na ulinzi wa Iraki kuwangumu Hapo juu askari na vifaru vya Uturuki vikielekea kuingia maeneo ya ambayo yapo mpakani na Iraki, na huko watasubiri amri kuanza vitu vyao. Mambo yawa magumu kwa Sharapova. Maria Sharapova ameshindwa kuendelea na michuana ya tennis mjini Moscow kutokana na kuwa na ubovu wa bega. Mwana dada huu amabaya alitegemewa kuwa kati ya wana tenisi amabao wangeweza kuchinda mpamabanoa huo ujulikanao kama Kremlin kapu. Hapa juu pichani anaonekana jinsi ganai yalivyo kuwa magumu kwa mwana tenisi huyu. Doooo' Pole Maria wana wa ukaya watakosa umaila wako. Wana wa madiba, waingia nusu faina ya ragies. Timu ya mpira wa raga ya Afrika ya Kusini, ambayao ndito pekee ina wakilisha bara la Afrika, wameingia hatu ya nusu fainali, baada ya kuifunga Fiji, kwa alama 37 kwa 20. Hivyo watacheza na wapinzani wake wakuu Uingereza, amabao wame watoa Australia. Pichani mmoja wa wachezaji wa Afrika ya Kusini akiongezea alama za ushindi. Jennifer Lopez kuwa mama mapasa. Kuna habari za kuamainaka kwamaba mwanamuziki maarufu duniani Jennifer Lopez, huenda akajifungua mapasa, hizi habari ni kutoka kwa watu wake wa karibu. Ingawa JL mwenyewe bado kuyaongelea maswala ya uja uzito wake. Mwana mama JL aki fanaya vitu nyake hivi karibuni, huku ashikilia tumbo lake. Karibu Jenny kwenye ulimwengu wa wazazi na malezi. Britney Spears kuchekiwa. Mwana mama anayajulikana madahaa na mbwembwe, Britney Spears, atafanyiwa uchunguzi wa madawa ya kulevya, kwa kufatilia amri ya hakimu. Mwanasheria wake aliyasema haya Hapa Brity akiwa anafanayiwa kipimo na polisi wa usalama barabarani hivi karibu Kukosa maadili ya kazi, wakumbwa na fagio la umeme. Mcheza sinema maarufu duniani George Clooney, ambaye alipata ajali ya pikipiki, hivi karibuni,na kulazwa katika moja mji mmoja nchini nchini Amerika, amesababisha baadhi ya wafanyakazi wa hospitali kufukuzwa kwa kutoa nyeti zake. Bwana Clooney mwenye miaka 46, ambaye aliumia mbavu na kujichubua kiasi, na abiria wake Sarah Larson kuvunja mguu. Wanasoka dunia kugombania udhahabu wa dunia. Shilikisho la soka duniani la teuwa wachezaji wa watakao gombania kuwa mchezaji bora wa dunia kwa upande wa soka. Hawa ndiyo wateuliwa. Gianluigi Buffon (Italy), Fabio Cannavaro (Italy), Petr Cech (Czech Republic), Cristiano Ronaldo (Portugal), Deco (Portugal), Didier Drogba (Ivory Coast), Michael Essien (Ghana), Samuel Eto'o (Cameroon), Gennaro Gattuso (Italy), Steven Gerrard (England), Thierry Henry (France), Juninho (Brazil), Kaka (Brazil), Miroslav Klose (Germany), Philipp Lahm (Germany), Frank Lampard (England), Rafael Marquez (Mexico), Lionel Messi (Argentina), Alessandro Nesta (Italy), Andrea Pirlo (Italy), Franck Ribery (France), Juan Roman Riquelme (Argentina), Ronaldinho (Brazil), Wayne Rooney (England), John Terry (England), Carlos Tevez (Argentina), Lilian Thuram (France), Fernando Torres (Spain), Ruud van Nistelrooy (Netherlands), Patrick Vieira (France) Mabadiliko ya katiba Zambia bado njia panda. Rais wa Zambia Levy Mwanawasa ametangaza ya kuwa wale watakao pinga mabadiliko ya katiba watashitakiwa kwa mujibu washeria. Rais Mwanawasa ali yasema haya kupitaia runinga ,a radiao. Swala la katiba nchi Zambia limekuwa likileta utata, hasa kwa upande wa upinzani kwa kudai kwamaba mabadiliko ya kataiaba yata yatampa madaraka mengi rais. Rais wa Zambia akiliutumbia taifa hivi karibuni. Acheni Irani ifanye vitu vyake. Rais wa Rusia Vladamir Putin, amesema, Irani isaidiwe katika kujenga mitambao ya nyuklia, kwa kuweka uwazi shughuli za ujenzi wake. Rais Putin aliyasema haya alipo kutana na rais wa Ufaransa bwana Nikolas Sarkozy. Uhusiano wa ufaransa na Rusia wazidi imarika. Kulia ni rais wa Rusia bwana Putin na kushoto ni rais wa Ufaransa. Rais Bush Mauaji ya alaiki ya Armeniani tuwe makini Rais George Bush amekataa kuidhini mswada wa kupitishwa kwa mauaji ya alaiki yaliyo fanyika, kata ya Uturuki na Armenia, amabapo watu kutaka jamii ya Armeni waliuwawa naUturuki wakatai wa vita vaya kwanza vya dunia. Amesemamswada huu utaleta uhusianao mbaya na serikali ya Uturuki. Rais,Bush akiongea na waandishi wa habari. Watoto wa Afrika na njaa. Kutokana na matatizo, kutokuafikiana, kutofikria kizazi kijacho, kwanjia moja ama nyingine watu , Afrika hasa kizazi kijacho kimekuwa kina kosa hata matumaini ya mlo wa siku moja, malazi, amani na elimu ambayo ndiyo msingi wa maendeleo wa maisha ya binadamu. Pichani ni watoto wa kiafrika, kizazi kijacho kikiangalia na kungojea kizazi cha sasa kukijenge njia na msingi wa maisha yao ya baadaye.
Rais Mussa Yar'Adua awatadhalisha wala rushwa. Moja ya nchi zenye mafuta na utajiri wa maliasili katika Afrika, mirungura iefikia kiwango cha kutisha hivyo kuja kwa serikali mpya ya Nigeria imeahidi kupambana na wale wote watoa rushwa na wala rushwa. Aliyaongea haya rais wa Nigeria bwana Mua Yar Adua, alipo ukwa akitangaza kwa njia ya radio na runinga kuazimisha miaka 47 ya jamuhuri ya nchi hiyo.

Hapa askari wa kupamabana na rushwa wakielekea maeneo kumyaka mwana mirungura. Simchezo hawa jamaa wamekwenda hewani. Hali ya utata kuilinda nchi ya Irak. Kampuni nyaingine ya ulinzi ijulikanayo kama (URG) Unity Resource Group the Australian, Dubai based group. Inakabiliwa na kashfa.Baada mmoja wa wafanyakazi wake kuu kwa kupiwaga risasi wanawake wawili walio kuwa wakiendasha gari.

Lakina msemajai wa URG, amesema yakuwa wanawake hawa walikataa amri ya kusimama walipo amrishwa kusimama. Na URG iansikitishwa na tukio hilo, na inalifanyaia uchunguzi. Picha ni mmoja wa marehemu akipakizwa kwenye gari tayari kwa mzishi.

No comments: