Monday, October 22, 2007

Mozambiki wataka kujua chanzo cha kifo cha rais Samora Machel.

Madiba Magics naMadiba Boys watawala dunia.

Wa na wa Uingereza kuamua kumpa heshima ya pekee Madiba kwa kuweka sanamu ya kumbukumbu walijua umuhimu wake, na nguvu za Madiba au kama wanavyo ita "Madiba Magics"
Haya yametimia hivi karibuni baada ya timu ya taifa ya (RUGBY SPRINGBOKS), kuitesa vibaya timu ya taifa ya rugbi ya Uingereza kwa mabao 15 kwa 9, kwenye fainali ya mashindano ya dunia ya rugbi, yaliyo malizika hivi majuzi mjini Paris, Ufaransa..
Hapo juu kulia, rais wa Afrika ya Kusini, Thabo Mbeki akinyanyua kombe la dunia la mpira wa rugbi
Viva Madiba viva Madiba and long live madiba magics.
Mozambiki wataka kujua chanzo cha kifo cha rais Samora Machel.
Serikalai ya Mozambiki imesisitiza, lazima ukweli upatikane nani aliye husika katika kifo cha rais wa kwanza wa Moizambiki,hayati Somora Moises Machel. Msisisito huu ulitolewa na waziri anaye shughulika wapiganaji wa zamani, msemaji huyu alisema hatuta tulia mpaka tujue ukweli na chanzo cha ajalihiyo. Rais Hayati Samora Machel alifariki dunia miaka 21 iliyo pita baada ya ajali ya ndege, kutokana na utata wa mawasialiano.
Hayati, Machel alitawala kama rais wa Mozambiki, kwa muda wa miaka isiyopungua 11 wakati wa uhahi wake. Picha hapo juu kataiaka ni hayati Samora Machel akisalimiana na hayati Oriver Tambo enzi hizo za kupingania uhuru wa kusini mwa Afrika
Ndenge ya Lufthansa ya tua kwa ghafla na dharula mjini
nairobi .
Ndege ya shilika la ndege ya Ujerumani ( Lufthansa), imetua kwa ghafla, kutokana dharula iliyo tokea kwenye ndege hiyo.
Msemaji wa polisi amesema, ndege hiyo aliyokuwa ikitokean Afrika ya Kusini, ilibidi ituwe mjini Nairobi baada ya rubani wake kugundua matatizo katika moja ya mashine zinazo saidia ndege kuruka.
Hali hii inakuja baada ya ndege ya moja ya mizigo kuanguka maeneo ya nayo kaliwa na watu mjini Kinshasa DRC ambapo zaidi ya watu 50 walipoteza maisha yao.
First lady aachana na rais wa Ufaransa kwa makubalino .
Rais wa Ufaransa, bwana Nicolas Sarkozy 52, ametangana na mke wake bi, Cecilia Sarkozy, au kwa jina kamili bi, Cecilia Maria Isabel Ciganer Albeniz.. Baada ya kuishi pamoja zaidi ya miaka kumi na mmoja.Kutengana huku kumekuwa kwa mkubaliano ya manufaa ya pande zote mbili. Wachunguzi wa mamboa wanasema makubalianao haya ni manufaa zaidi kwa rais Sarkozy, hasa kwa wakati mgumu aliyo nao na sheria mpya ya kazi, ya kutaka muda wa kufanya kazi uongezeke kiumri.
Bwana Sarkozy, ambaye alioa mara mbili, ana watoto watatu,pamoja waliompata na bibi Cecilia.

Pichani juu na wakati ule wapendanao wakiwa na tabasamu la maana kabisa walipokuwa anakula raha pamoja.

Wataka, msako wa silaha uanze mara moja, kupunguza hatari mitaani Uingereza.
Kutaokana na vitendo vyakinyama, mauaji yanayo endelea miongoni mwa vijana, shirikisho la polisi wenye asili ya kiafrika, linatarajiwa kuiomba serikali ya Uingerezam kuwaruhusu polisi, kuanza kusimamisha vijana wote, mahali popote wa na mahali walipo kwa ajili ya kukagua siraha kama visu, na bunguki ndogo( Pistols), ambazo zinachangia kuhartarisha maisha ya vijana na raia kwa ujumla.
Msemaji wa shilikisho hili, amesema vitendo vya kinyamana, mauaji yanayaotokea hayana rangi, kwani ni vijana wa tabaka zote wanao athirika na jamiii zao pia. Amesema hayo kwa kusisi tiza ya kuwa watu wenye asili ya kiafrika ndiyo wana simamishwa saana zaidi ya mara sita,kulinganishwa na watu wamatabaka mengine, hali hii inaleta mushkeri kwa raia.Lakini hakuna budi hili jambao litendeke ili kuleta usalama kwa wote.
Pichani ni baadhi ya siraha ambazo zilikamatwa na polisi hivi karibuni.
John Howard akalia kiti moto na mpinzani wake mkubwa, bwana Kevin Rudd.
Siasa ya Australia imeingia kwenye mpapambano mkali. Kwani waziri wa sasa wa Australia bwana Howard, amekutana na wakati mgumu, hasa kuzingatia hali ya kivita iliyopo Iraki,ambapo Australia inamajeshi yake kwenye inchi humo, mipango ya kiuchumi na mabadiliko ya hali ya hewa kwani bwana Howard anadaiwa kuwa anapinga makubaliano ya Kyoto kuhusu ubinjani na hali ya hewa.
Pichani, bwana Howard ,akiingia kwenye kiti moto.
Dick Cheney aitahadhalisha Iran kuhusu kujenga mtambo wa nyuklia
Makamo wa rais wa Amerika, bwana Dick Cheney, ameinya Irani ya kwamaba ataruhusiwa kujenga au kuendelea, nampango wake wakutaka kuwa nga nguvu za kinyukria . Amesema ya kuwa kama Iran itasikiliza yanayo takiwa wafanye na mataifa mengine, basi wajue hali haitakuwa nzuri kwao.Huu ni ujumbe ambao tunatuma kwa serikali ya Iran.
Onyo hili linakuja, kufuatia hotuba aliyo toa rais George Bush, kuwa nyukria ya Iran, inaweza kuzua vita vingine.
Na hivi karibuni , mzungumzaji wa kinyukria wa Iran, bwan Ali Larijni amejihudhulu, na hakuna sababu za kujiuhudhulu kwake.
Kwa upande wa serikali ya Irani, imesema mitmbo yao ni kwa aajili ya kupata nguvu za umeme na wala siyo kujenga mitamabo ya siraha. Hapo juu anaonekana bwana Cheney akiongea kuhusu swala hii la Iran hivi karibuni.
Vita vya Kongo DRC na wapinzani vyahatarisha kina mama.
Inakadiriwa kila siku wananchi 1000 wa Kongo DRC, hasa upande wa Kivu, wanahamahama kutoka, eneo moja kwenda jingine, kutafuta sehemu ambayo wanaweza kuwa na usalama kwa maisha yao.
Mapigano hayo kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wanao muunga mkono Gen- Lautent Nkunda, yamekuwa yakiendele sasa kwa muda mrefu, huku marumbano yakiendelea.
Kutokana mmoja wa wakimbizi hawa, anasema kila siku, huwa kukesha usikumzima na mchana wakingojea lini hali ya amani itarudi, kwani vita vinasababisha hali ngumu ya kimaisha"Mkimbizi "
Picha hapo juu aanonekana mama akiwaamebeba, mtoto na baadhi ya mizigo akikimbia vita hivyo. "Jamani vipi Afrika tuta jenga kweli?

Mamruki na askari wa kukodiwa wa Kifaransa aliye sumbua Afrika aaga Dunia.
Askari na mamruki wa kifaransa, ambaye alikuwa , na kazi yakuongoza vita zidi ya serikali za Afrika,hasa inapofika migogoro ya kisisasa, katika nchi hizi, bwana Bob Benard, amefariki dunia hivi karibuni.
Bo Benard, aliusika saana katika vita vya Kongo -Katanga, kataika miaaka ya 1960-1963, baadaye kuhusika na vita vya Komoro, Zimbabwe ( Rodesia) enzi hizo, Benin, Nigeria, na Angola. Bwana Benard alikuwa akijiita (Pirate of Republic)
Raul Castro ashika kiti cha Fidel Castro kwa makini nchini Kuba.
Kwa wa kuba wengi jina Raul Castro siyo geni. Lakini kwa waliowengi Raul Castro, amekuja fahamika baada ya kaka yake , rais wa kwanza wa Kuba , kuanza kuwa na matatizo ya kiafya. Raul Castro aliachiwa madaraka, na kaka yake Fidel Castro,ili aiendeshe nchi kwa amani, na kufuata misingi ya katiba ya Kuba. Raul Castro amekuwa akisifiwa na wachunguzi wa mambo kama anaelekea kuleta mageuzi ya kiuchumi kwa kiasi. lakini hata hivyo wana siasa wanadai ni mkuba mwenye itikadi kali ya kisiasa kuliko kaka yake. Hivyo ni vigumu kumwelewa kiundani, hata hivyo Kuba bado inashamiri chini ya uongozi wake WaKuba siku zote wana sema viva la Castro,viva la Kuba.

No comments: