Nitarudi kuonyesha uwezo wangu muda si mrefu"Asema aliye kuwa nyota wa soka wa dunia mara tatu".








Nitarudi kuonyesha uwezo wangu muda si mrefu"Asema aliye kuwa nyota wa soka wa dunia mara tatu".
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, September 24, 2008
0
comments
Bi,Oprah Winfrey, akonga nyoyo za wanamama na wasichana nchini Saudi Arabia.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, September 20, 2008
0
comments
Baba wa Kiafrika, aonyesha uwezo wake, "sitoi taraka kwa wake zangu"Hii ni baraka.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, September 17, 2008
0
comments
Moto wasababisha usafiri kuwa mgumu kwa wakazi wa Ulaya watumiao daraja.
Posted by
Kibatala
at
Friday, September 12, 2008
0
comments
Waziri mkuu apoteza kibarua cha uongozi wa nchi "Chaota majani" , kazi ya zamani yawa chanzo".
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, September 10, 2008
1 comments
Afrika ya Kusini na Venezuela za endeleza huusiano"Watiliana mkataba wa kimaendeleo"
Pretoria,Afrika ya Kusini-2/09/08.Serikali ya Afrika ya Kusini na serikali ya Venezuela, zimetiliana sahii mkataba wa kiushirikiano katika nyanja za kiuchumi na viwanda na hasa mafuta na gesi.
Mkataba huu ulisainiwa wakati rais, Hugo Charvez, alipo tembelea nchini Afrika ya Kusini,
Rais, Charvez, alitoa mwanya kwa wananchi wa Afrika ya Kusini kuweka vitega uchumi nchini Venezuela.
Picha hapo juu, wanaonekana rais, Thabo Mbeki na Hugo Charvez ,wakielekea kwenye ofisi za Ikulu ya serikali ya Afrika ya Kusini mjini Pretoria, mara baada ya rais Charvez alipo wasili nchini Afrika ya Kusini.
Posted by
Kibatala
at
Saturday, September 06, 2008
0
comments