Rais Obama amteua mkuu wa majeshi mpya kuongoza NATO.

Rais Obama amteua mkuu wa majeshi mpya kuongoza NATO.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, June 23, 2010
0
comments
Meli ya siraha yazuiliwa nchini Sypras.
Nikosia,Syipras - 23/06/2010. Serikali ya Syipras imeizuia meli ijulikanayo kama Santiago ambayo inasadikiwa kubeba siraha kuelekea nchini Sudani.
Waziri wa biashara Antonis Passchalides alisema, vifaa vilivyopo kwenye meli hii lazima vifanyiwe uhakiki.
Uamuzi wa serikali ya Sypras kuzuia meli kufuatia vikwazo vilivyo wekwa zidi ya Sudan.
Picha hapo juu inaonekana meli ambayo imezuiliwa nchini Sypras.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, June 23, 2010
0
comments
Afrika ya ikaribisha dunia "Soka, Kombe la duni."
Posted by
Kibatala
at
Saturday, June 12, 2010
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, June 09, 2010
0
comments
Mafua ya nguruwe yaleta saga WHO.
London,Uingereza - 04/06/2010. Gazeti linalo toa ripoti za kiafya za binadamu nchini Uingereza limesama '' kunaukweli ya kuwa wataalamu wa liotoa habari za kuoenea kwa ugonjwa wa mafua ya nguruwe walizidisha vitisho katika kuelezea hatari ya ugonjwa huo.''
Kwa mijibu wa gazeti hilo lilisema ''yakuwa wataalamu hao walikuwa wanahisa katika uuzaji wa madaya ya kutibu na kukinga ugonjwa huo''
Ugonjwa huo unaojulikana kama H1N1 virus ulitishia dunia nzima hata kusababisha baadhi ya nchi kuingiwa na wasiwasi kwatumia pesa zaidi kununu madawa ya kutibu ugonjwa kwa wingi.
Kuthibitisha hali hiyo kamati ya kiafya ya Ulaya melilaumu shirika la afya dunia WHO kwa kutofanya uhakiki wa habari wakati zilipo tolewa na wataalamu hao.
Picha hapo juu wanaonekana badhi ya watu wakipata chanjo wakati wa kuvuma ugonjwa wa mafua ya nguruwe.
Posted by
Kibatala
at
Friday, June 04, 2010
0
comments
Umefikia afrika kuwa na kiti ndani ya UN.
Nice,Ufaransa- 01/06/2010. Rais wa Ufaransa Nicalas Sarkozy amesema "umefika wakati wa bara la Afrika kuwa na kiti maalumu katika baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa."
Rais, Sarkozy aliyasema hayo wakati alipo kutana na viongozi wa bara la Afrika kwa kusisitiza ya kuwa "hatuwezi kuongea habari za ulimwengu na dunia bila kuhusisha bara la Afriaka"
Posted by
Kibatala
at
Tuesday, June 01, 2010
0
comments