Mkuu wa polisi ahukumiwa jela miaka 15.
Mahakama nchini Afrika ya Kusini imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela aliyekuwa mkuu wa polisi nchini Afrika ya Kusini baada ya kukutwa na hatia ya kupokea rushwa na zawadi kinyume cha sheria..
Jack Selebi ambaye amkuwa na hatia ya kuchukua rushwa aliwahi kuwa mkuu wa jeshi la polisi na hata kufanyakazi na Interpol.
Picha hapo juu anaonekana aliyekuwa mkuu wa polisi nchini Afriak ya Kusini Jack Selebi akiwa kizimbani kuisikiliza hukumu ya kesi yake.
Izrael na Lebanoni zatupiana risasi.

No comments:
Post a Comment