Malkia wa Uingereza atimiza miaka 60 tangu kutawazwa rasmi kuwa Malkia.
London,Uingereza - 20/03/2012. Malkia wa Uingereza amesherekea miaka 60 tangu kutawazwa rasmi kuchukua wadhifa huo.
Malkia Elizabeth II alisema " huu ni ukumbusho wa maisha yetu yanayo ambatana na historia ya nchi yetu ambayo kila mtu anahaki sawa na kuheshimina ni msingi wake mkuu.
Nipata bahati ya kushuhudia mambo memgi ya kihistori yakitokea, na nashukuru familia yangu kwa kuwa na mimi wakati wote kwa hali na mali, na najitolea kuitumikia nchi yangu na watu wake kwa sasa na miaka mingi ijayo."
Malkia Elizabeth wa Uingereza ni Malkia wa pili katika historia ya kifalme ya Uingereza kutimiza miaka 60 ya kuwa mtawala Malki kwa kufuata nyayo za Malkia Viktoria 1897.
Mauaji yaliyofanywa na mwanajeshi wa Marekani yaundiwa kamati kuchunguzwa
Washington, Marekani - 20/03/2013. Jeshi la serikali ya Marekani imepanga kuchunguza kiundani ili kutaka kufahamu kiini cha mauaji yaliyo fanywa na mmoja ya wanajeshi wa Kimarekani hivi karibuni nchini Afghanistani.
Gen Ajonh Allen alisema " kamati maalumu itaundwa ili kuchunguza kwa makini mauaji hayo na kutaka kujua kiundani ilikuwaje mshukiwa Staff Sgt. Robet Bale alifanya mauaji hayo."
Mauaji hayo yaliyo fanywa na mwanajeshi huyo wa Marekani nchini Afghanistan yameleta vichwa kuuma kwa serikali ya Marekani na kusababisha maamdamano nchini Afghanistan ya kutaka mwanajeshi huo ashitakiwe.
Kiongozi wa Iran aonya nia ya kuishambulia Iran.
Tehran, Iran - 20/03/2012. Kiongozi mkuu wa serikali ya Iran, ametoa onyo ya kuwa ikiwa nchi yake itashambuliwa nayo serikali ya Iran bila kusita.
ayatollah Ali Khamenei aliseme " tutajibu shambuio lolote lile kwa kiasi tutakavyo shambuliwa na tutafanya hivi kwa kujilinda.
Hatutengenezi mabomu ya nyklia na hatuna mpango huo, na tusingependa kuona Marekani inafanya makosa hayo, kwa kuitishia Iran hakuta vunja Iran."
Kiongozi huyo wa Iran, aliyaongea hayo baada ya rais wa Marekani Baraka Obama, kutoa hotuba ambayo ilikuwa ni kwa ajili ya wanachi wa Iran.
Katika hotuba hiyo rais Obama alisema "Iran imewawekea wananchi wake ukuta wa umeme ili wasiweze kusikika, kuona, kuongea kwa kutofuata haki za binadamu."
Urussi kuafikia mapendekezo ya Kofi Annan juu ya Syria.
Waziri wa mambo ya nje wa Urussi Sergie Lavrov alisema " mpango wa mapendekezo ya Kofi Annan, ili kuleta amani nchini Syria in mzuri na nimuhimu kutekelezwa kama alivyo alivyo pendekeza."
Matamko haya ya Urussi yamekuja wakati Kofi Annan amesha fanya mazungumzo mara mbili na rasi wa Syria Bashar al Assad ili kujadili mbinu za kuleta amani nchini Syria.
No comments:
Post a Comment