Alex Ferguson,anyakua ubingwa kwa mara ya 10, Giggs avunja rekodi.


Chini ya uongozi na kocha mkuu, bwana Alex Ferguson, timu hiyo imeweza kunyakuwa kikombe hiki mara 10.
Wakati huo huo , mchezaji nyota na mahili wa mchezo wa soka, katita timu ya Manchester Unaited , Ryan Giggs, amesawazisha rekodi ya ufungaji wa magoli 758, katika timu hii, ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Bobby Charton.
Giggs alifunga goli la kusawazisha rekodi ya Bobby Charton na goli hilo lili hakisha ubingwa kwa timu ya Mancheter United wa msimu wa 2008-2009.
Ryan Giggs ni moja ya mchezaji wa muda mrefu wa timu ya Manchester United tangu enzi ya miaka ya mwanzo ya 90.
Picha hapo juu, anaonekana, kocha mkuu wa Manchester United, bwana Alex Ferguson,akinyanyua kombe la ubinga wa ligi ya Uingereza kwa mara ya kumi.
Picha ya kati ni mchezaji, Ryan Giggs,akinyanyua kombe kwa mara nyingine chini ya uopngozi wa kocha wake wa muda mrefu,Alex Ferguson, baada ya kufunga goli lililo wazamisha matumaini Wigan Atlet ya kuwa waweza kuwasimamisha Man United.
Picha ya chini , ni picha za mcheza Ryan Giggs, akiwa anaonyesha vitu vyake kwa mbinu tofauti za kutikisa nyavu na kuchezea kabumbu.
Familia ya rais Bush, yawa mfano bora kwa jamii, mtoto wao afunga pingu zamaisha.



Harusi hiyo iliyo fanyika mjini Texas, iliudhuriwa na watu wapatao 200,wakiwemo wazazi wa pande zote mbili, familia ya rais, George Bush na familia ya bwana, John Hager.
Picha hapo juu ni picha ya bi Jenna Bush akisema kwa bwana Henry Hager ya kuwa mimi sasa ni wako wa milele, na huku bwana Henry, anaonekana akisema bi Jenna, sasa wewe ni wangu wakufa nakuzikana, na kati yao ni mchungaji, Kirbyjon Caldwell, anashuhudi hayo waili hawa kuwa kitu kimoja.
Picha ya kati wanaoneka Bi Jenna na bwana Henry Hager, wakiwa kitu kimoja baada ya harusi yao.
Chini pichani, anaonekana baba mzazi wa Jenna, rais George Bush,akiwa na tabasamu la furaha huku amenshikilia malaika(mtoto) wake Jenna, kwani kazi nzuri walioifanya ya kumlea kwa maadili mema mtoto wa Jenna, na sasa anaenda anza maisha yake na mume wake bwana Henry.
Hatutafanya jambo lolote la kumpa nguvu rais "Nawaz Sharif".


hata hivyo wachunguzi wa maswala ya kisiasa ya Pakistan, wanasema ya kuwa mwana Zardari, ananagalia kwa makini swala hili kwani,hapendi hili swala likaja likaleta mgongano wa kisisa tena.
Hata hivyo , bwana Sharif , alisema ya kuwa chama chake hakitafanya aina yoyote ya vitendo ambavyo vitamwongezea nguvu rais Musharaf,
Picha hapo juu ni picha ya bwana,Nawaz Sharif akiwapunguia mikono wanachama wenzake wakati wakampeni uchaguni uliopita.
Chini ni picha ya pamoja kati ya bwana Sharif na bwana Zardari, wakiwa pamoja hapo mwanzoni, na sasa wanapishana katika kumaamuzi ya kisiasa.
Tetemeko la ardhi la sababisha vifo na maafa makubwa, nchini China.


Tetemeko hilo lenye nguvu za 7,8, lilitoke katika mji wa Chengdu uliopo umbali wa km 92 kutoka makao makuu ya jimbo la Sichuan
Hata hivyo huenda idadi ya vifo vikaongezeka kutokana na maafa haya ya liyo letwa na tetemeko hili,hii ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali.
Kwa mujibu wa wanasayasi tetemeko hilo lilitoke muda wa saa (1448) kwa masaa ya China siku leo ya jumatatu.
Ili mkukabiliana na hali hii serikali ya China, imetoa misaada na jeshi ili kuwasaidia wananchi walopatwa na janga hili.
Picha juu wanaonekana baadhi ya watu wakiwasaidia majerui walio umia kutoka na tetemeko hili la ardhi.
Chini pichani wanaonekana baadhi ya wananchi wakiwa hawana na kufanya, wakiangalia njinsi gani tetemeko lilivyo haribu na kuteketeza mali na makazi yao.
Korea ya kusini kuanza kuonyesha ushirikiano"msemaji wa serikali".



Akisema haya , msemaji wa serikali ya Amerika, alisema ya kuwa hii ndiyo mwanzo wa kuonyesha ya kuwa serikali ya Pyongyang, inaanza kuonyesha ushirikiano na kuweka uwazi kuhusu hali ya kinyuklia ya nchi hiyo.
Picha hapo juu ni bendera ya Korea ya Kaskazini,nchi hii ya korea imekuwa na uhasama mkubwa na Amerika kwa kipindi kilefu tangu kumalizika kwa vita ya Korea miaka ya hamsini
Picha ya kati ni jeshi la Kora ya Kaskazini, likiwa linakula kwata,mbele ya viongozi wa seriikalimwakati wa kuadhimisha shererhe za kitaifa nchini humo.
Picha ya chini wanaonekana wawakilishi wa serikali ya Amerika, wakiwa wameshikilia, masanduku yenye nyaraka za maelezo kuhusu hali ya nguvu za kinyuklia, tayari kuzipeleka Amerika kwa uchunguzi zaidi.
Hali ya kisiasa katika Afrika, Uchaguzi wa Swazland mashakani"Wapinzani".


yapo njiani, kunauwezakano mkubwa wa uchaguzi huo kususiwa na baadhiya viongozi wa siasa nchini humo hapo muda wa uchaguzi utakapo fikia mwezi wa Septemba.
Swazland ni nchi pekee katika Afrika, ambayo Ufalme ni moja ya nguzo muhimu katika seriakali.
Kwa mjibu wa msemaji mmoja wa mambo ya kisiasa nchini Swazland, prof Quambukusa Magagula,alisema ya kuwa mfumo wa siasa nchini Swazland, ahurusu mfumu wa vyama vingi vya kisisa kwa madai mfumo huu unaleta badhi ya matatizo katika jamii.
Hapo juu ni picha ya bendera ya Swazland, nchi pekee katika Afrika yenye Mfalme anaye ongozo changia katika kuongoza nchi.
Chini ni picha ya Mfalme Muswati III, akiwa amevalia mavazi ya kijeshi na kutoa heshima(Salute) kwa wanajeshi walipopita mbele yake wakati wa sherehe za kitaifa nchini Swazland hivi karibuni.
Picha ya chini kapisa, anaonekana Mfalme Muswati III, akiwa amesimama tayari kuwapokea mashujaa wa Kiswaz, wakati wa sherehe za kimila, ambazo hufanyaka kila mwaka nchi Swazland.
Afrika kukumbwa na njaa,Benki ya Maendeleo ya Afriaka yaonya.


Benki ya Maendelo ya Afrika katika ripoti yake aliyo tolewa kabla ya kuanza kikao hicho mjini Maputo,ilisema yakuwa hii ina tokana na uduni wa kimaendeleo ulizo nazo nchi nyingi za bara la Afrika.
Na kuagiza ni lazima hatua za haraka zichukuliwe mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Kikao hiki ambacho kitafanyika mijini Maputo, kwa muda wa siku mbili, kiligusia vile vile upandaji wa mafuta ya kundeshea mitambo na mgari, ni sababu moja wapo ya bei ya vyakula kupanda mara dufu.
Picha hapo juu ni picha ya zao la ndizi,zao ambalo muhimu saana katika lishe barani Afrika.
Picha nyingine hapo chini, ni picha ya shamba la mahindi, zao hili limekuwa likipata shida kuku,hasa kutokana na ukosefu wa mvua,na zao hili ndiyo chakula kikubwa katika nchi nyngi za Afrika.
No comments:
Post a Comment