Izrael yasimamisha meli za misaada.


Izrael yasimamisha meli za misaada.
Posted by
Kibatala
at
Monday, May 31, 2010
0
comments
Iran yasahini mkataba na kuruhusu madini kinyuklia kurutubishwa Uturuki.
Posted by
Kibatala
at
Monday, May 17, 2010
0
comments
Swala la mto Nile lafikiwa muafaka na nchi nne.
Posted by
Kibatala
at
Friday, May 14, 2010
0
comments
Uingereza yapata serikali mpya ya shirikisho.
Posted by
Kibatala
at
Wednesday, May 12, 2010
0
comments
Gordon Brown asema "Nangátuka madarakani."
Posted by
Kibatala
at
Monday, May 10, 2010
0
comments
Uchaguzi wa Uingereza wawa patupu.
London Uingereza - 07/05/2010. Matokeo ya uchaguzi yaliyotolewa nchini Uingereza yameiacha nchii hiyo na wakati mgumu wa kisiasa baada ya matokeo hayo kutompa mgombea yoyote wa vyama vya, Conservatives, Labour na Liberal Demokrati ushindi kamili wa kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo.
Matokeo hayo ambayo Conservatives ilipata viti 306 au asilimia 36%, Labour viti 258 asilimia 29% na Liberal demokrati 23%.
Kufuatia matokeo hayo ya uchaguzi, serikali ya Uingereza itabidi iundwe na chama zaidi ya kimoja tangu hali hii ilipo tokea mwaka 1974.
Picha hapo juu wanaonekana wagombea wa uongozi wa Uingereza wakati wa kampeni ya uchaguzi hivi karibuni, kutoka kushoto, David Cameroon, Nick Clegg na Gordon Brown.
Taliban na Al Qaeda washirikiana zaidi.
Posted by
Kibatala
at
Friday, May 07, 2010
0
comments
Posted by
Kibatala
at
Thursday, May 06, 2010
0
comments
Omar al Bashir ahaidi kutumikia Wasudani wote.
Khatoum, Sudan - 01/05/2010. Rais mchaguliwa wa Sudan, Omar al Bashir, amwataka wananchi wa Sudan kushirikiana katika kukabiliana matatizo ambayo yanaikabili nchi hiyo.Omar al Bashir aliyasema hayo baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa kugombea kiti cha urais uliofanyika mapema mwezi uliopita nchini Sudan.
Uchaguzi huo wa kushirikisha vyama vingi ulifanyika huku baadhi ya vya kususia uchaguzi huo
Kwa upande wake Omar al Bashir, alisema " mmenichagua kuwa kiongozi wenu na hivyo nitaingoza nchi yangu kwa manufaa ya wananchi wote wa Sudan."
Picha hapo juu ni picha kubwa ya rais Omar al Bashir, aliyechaguliwa kuiongoza tena Sudan
huku chini ya picha wanaonekana wanchi ambao wanamuunga mkono rais Omar al Bashir wakishangilia baada ya ushindi kura kutangazwa.
Nchi ya Chad kukumbwa na janga la ukame na njaa.
N'djamena,Chad-01/05/2010. Shirika moja la kimataifa linalo shughulika na kutoa misaada limedai nchi ya Chad inahali mbaya kutokana na ukame ambao unendelea kuikumba nchi hiyo.
Hata hivyo shirika hilo limesema " Wanachi wa Chad, wanakabiliwa na hali hiyo ikichangiwa na vita ambavyo vimechangia kuwepo na wakimbizi wengi wa ndani ya nchi na kusababisha hali ya uzalishaji kuwa mgumu hasa kwenye sehemu zile ambazo kuna unafuu wa hali ya ukame."
Picha hapo juu anaonekana mama akiwa na mtoto wake ambaye anaonekana kutokuwa na afya nzuri kutokana na utapia mlo.
Madawa yatakiwa kurudishwa" Hayakufikia kiwango"
Posted by
Kibatala
at
Saturday, May 01, 2010
0
comments