Serikali ya Amerika kuchunguza shirika la ulinzi la raia wa Amerika.
Abudhabi, UAE - 15/02/2011. Serikali ya Amerika imeanza uchunguzi zidi ya mwanzilishi wa shikika la ulinzi lililo julikana kama Blackwater na sasa kama Xe, baada ya ya habari kuenea yakuwa amekodishwa ilikutoa ushauri wa kiulinzi na kuunda majeshi katika nchi tofauti.
Erick Prince, ambaye ndiye mwanzilishi wa shirika la ulinzi la Blackwater, anesemekana amtiliana sahii mkataba na nchi za Kolombia na nchi nyingine ili kampuni yake ijulikanayo kwa sasa Xe kusaidia kupambana na wale wote wanaopinga serikali hizo.
Kwa mujibu habari kutoka serikali ya Amerika zinasema " inaangalia sheria ipi iliyo vyunjwa kwa raia wa Amerika kutoa mafunzo ya kijeshi nje ya Amerika."
Vile vile kunahabri nyingine ambazo zinasema "shirika hilo aliwaajili watu wenye imani ya Kiislaam
kwa kuofia ya kuwa watu waimani hiyo hawatakuwa tayari kushambuliana waislaam wenzao."
Shirika hilo ambalo limekuwa linato ajira kwa walinzi na wapiganaji walio acha kazi za kijeshi na ulinzi lili wahi kukumbwa na kashfa ya kuuhusika katika mauaji yaliyo tokea nchi Irak mwaka 2007.
Sunday, May 15, 2011
Posted by
Kibatala
at
Sunday, May 15, 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment