Chicago. Nyota wa Mchezo wa vikapu (basket ball) Michael Jordan, inasadikiwa itabidi amlipe mke wake Juanita, kiasi cha million 168. Malipo haya yana kuja baada ya Michael Jordan kutangazwa kuachana na mkewe ambaye wameishi pamoja kwa kipindi cha miaka kumi na saba (17) kama mke na mume. Pichani hapo juu ni Michael Jordani akiangalia kwa makini hali halisi baada ya msuko suko.
Mama alikuwa kila kitu kwangu, kuondoka kwake ni pigo kwangu " Kanye West'
Mwana muziki wa iana ya ngonjera, au fokafoka, Kanye West, ameshikwa na mshituko mkubwa, baada ya kuondokewa na mama yake mzazi. Dr, Dondo West mwenye miaka 58, mama ya mwanamuziki Kanye West, alifariki dunia, kutokana na operesheni ya mwili. Kifo hiki kimetokea wakati Kanye West yupo safarini Ulaya kisaniii. Pichani hapo juu ni Kanye West na mama yake Dr Dondo Kanye, wakati Kanye West alipo shinda zawadi kutokana umairi wa muziki wake ambao umetokea kupendwa duniani hasa kwa vijana. Uzawa na kutambuana kwa kitaifa, waleta kizaazaa kwenye Umoja wa Ulaya "EU"
Brussels.Wabunge watano wa Romania , wamedai kuwa watajitoa ikiwa katika bunge la Ulaya, ikiwa matamshi yaliyotolewa na Mrs Mussolini ya kuwa watu wenye asili ya kiromania ni Sugu.
Matamshi haya yalitamkwa na mrs Mussolini, baada ya raia mmoja wa Itali kuuwawa na inasadikika raia romania ndiye aliye msababishia kifo hiki.
Utata wa uzawa wa asili na kutambuana, kulizuka baada ya kujiunga kwa Romania na Bulgaria kwenye jumuia hii ya n Ulaya na kuleta mgawanyiko kwa kiasi fulani, kuhusu uzawa wa asili na kutambuana.
Pichani ni watu wakiandamana kupinga hivi karibuni .
Yupo chini ya ulinzi kwa kuwa msaliti "asema kiongozi wa LRA"
Lagos. Serikali ya Nigeria, imemuachia huru, mmoja wa raia wa Amerika, ambaye alikamatwa kwa madai ya kuwa shushu, "mpelelezi".
Bi Judith Burdini Asuni, alishitakiwa kwa kosa la kuhatarisha salama wa nchi, kwa kuwasaidia wajerumani kupata mikanda ya video- runinga, inayao onyesha shughuli za maeneo ya Niger Delta.
Wakili mkuu wa serikali ya Nigeria, alisema kuachiwa kwa bi Judith, ni kwa sababu za manufaa ya kitaifa.
Bi, Judith Burdin Asuni, mzaliwa wa Nigeria, ambaye anauraia wa kiamerika, aliachiwa pamoja na wenzake wajerumani ambao walikuwa wanafanya kazi pamoja.
Hapo juu pichani. ni bi Judith Burdin Asuni, alipo kuwa kizimbani kusikia shitaka linalo mkabili kushoto pembeni ni kachero.
Afrika ya Kusini, moto wa nani zaidi kuwaka tena." Zuma Mashakani"
Johannesburg. Wakati uchaguzi wa kumchagua nani atakuwa kiingozi wa chama tawala, (ANC) African national Congress, nchini Afrika ya Kusini ukipamba moto.
Mmoja ya wagombea wa kiti hicho, aliye kuwa makamu wa rais bwana Jacob Zuma amekutwa na wakati mgumu, baada ya mahakama kuu, kuruhusu kuendela kwa uchunguzi wa kesi ya rushwa, iliyo kuwa ikimkabili miaka mitano liyo pita.
Mawakili wa serikali wamefurahishwa na wamelikaribisha uamuzi wa mahakama kuendelea na uchunguzi huu.
Bwana, Zuma ali simamishwa kazi ya umakamu wa rais miaka, kutokana na kesi hii inayo husisha maswala ya bishara siraha,
Bwana, Jacob Zuma kwa sasa ni makamu wa chama tawala cha ANC.
Pichani hapo juu ni bwana Jacob Zuma akiongea kwenye mmoja ya mikutano ya ANC hivi karibuni.
Washingtone . Inasadikika ya kuwa mmoja ya kati wanajeshi wanne waliopigana zamani wakati vita, ana ishi maisha ya omba omba , na kulala nje na kukusa matibabu na bima ya maisha.

4 comments:
wohin die Welt gerollt wird? cialis viagra preisg?nstig [url=http//t7-isis.org]viagra generika erfahrungen[/url]
Felicito, que palabras..., el pensamiento magnГfico [url=http://csalamanca.com/category/viagra/ ]viagra sin receta buenos aires [/url] Como es curioso.:) comprar viagra online
Time and tide wait for no man.
tantric masѕage salmon in avocado pear beyond quaԁ and clock timе.
Mіkao Usui іnicia ѕeus trabalhos com a Energia tantric massаge Ap�s redеscobrіг о tantгiс maѕsagе e
seus one is a сleaг dіagrammatiс impressiоn.
The gеomеtric dеsignѕ aгe dіfferent for diverѕe aspects of my wаtch eаrliеr I take іt off and it's 1 AM and so. But, something has happened; this country would be ideal.
my webpage homepage
my web page -
Post a Comment