Jaji arudishwa ofisini" Maandamano na siasa za mvutano bado nchini Pakistan.


Kwa mujibu wa msemaji mmoja wa mabo ya kisiasa nchini Pakistan, alisema wanachi wanangojea nini kitatokea na baada ya kuarudishwa kazini jaji huyo, kwani kuna baadhi ya kesi zinazo wakabili viongozi wa nchi hasa katika ngazi za juu za nchi.
Picha hpo juu, anonekana jaji mkuu wa Pakistani, Iftikhar Chaudhry, ambaye kuchelewa kurudishwa kwake ofisini, kumeleta machafuko nchini Pakistan na mvutano wa kisiasa kuwa mkubwa.
Picha ya pili ni ya rais wa Pakistan,Asif Ali Zardari, ambaye amekuwa na wakati mgumu tangu achukue ofisi kama rais wa Pakistan, na hasa kwa kuchelewa kumrudisha ofisini jaji Iftikhar Chaudhry kama jaji mkuu.
Picha ya tatu, wanaonekna baadhi ya wanchi wa Pakistan, wakifuatilia kwa makini hali ya kisasa nchini mwao, kwa kupita magazeti.
Madagasca yapata rais mpya."Achukua ofisi akiwa kijana wa miaka 34".


Andy Rajoelina, amechukua madaraka, baada ya rais, Marc Ravolamanana , wa Madagasca kulaumiwa ya kuwa hakutimiza matakwa ya kidemikrasia na kurazimishwa kujiuzuru kutoka madarakani.
Picha hapo juu anonekana, rais mpya wa Madagasca Andy Rajoelina, akiongea na wananchi mapema kabla ya kuteuliwa kuwa rais mpya.
Picha ya pili, anaonekana rais, wazamani wa Madagasca, Marc Ravolamanana, akiongea na wananchi,mapema kabla ya kulazimishwa kuondoka ofisini kama raisi.
Urussi kuongeza nguvu za kijeshi ifikapo mwaka 2011.

Tamko hilo, limekuja baada ya kuongezeka kwa ukubwa wa jumuia ya NATO, kwa kufatia baadhi ya nchi zilizo kuwa katika jumuia ya shikisho la nchi za Urussi, kujiunga na NATO na nyingine zipona mpango wa kujiunganga na jumuia ya NATO.
Kwa mujibu wa agizo hili,limesema ni lazima ifikapo 2011, jeshi la Urussi liwe na uwezo wa kiteknolojia na nguvu za kijeshi za kisasa.
Picha hapo juu, anaonekna rais wa Urussi,Dimitry Medvedev, akiongea na moja ya wakuu wakijeshi wa Urussi mapema hivi karibuni.
Czeck yakaata ardhi yake kutumika kujengea mitambo ya kijeshi.

Akiongea hayo, waziri mkuu wa wa Czeck,Mirek Topolanek, alisema kuamua kusimamisha mpango huo kwani, mswada huo utakataliwa endapo litapelekwa katika bunge.
Picha hapo juu anaonekana,waziri mkuu wa Czeck, akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni.
Papa awaomba watu kubadilisha tabia zao.


Katika ziara yake alisema yakuwa, aliaagizia jamii kujiepusha na uzinzi, kwani maatumizi ya kondom (Mipira ya kuvaa kabla ya kufanya mapenzi) haisaidi kuepusha kuenea ukimwi.
Lalazima ni watu kubadilisha tabia, na kungoja hadi hapo watakapo oa au kuolewa.
Baada ya ziara nchini, Kameroon. Papa Benedict ataelekea nchini Angola.
Picha hapo juu, anaonekana, Papa Benedict, akiwasalimia watu waliokuja kumlaki wakati alipokuwa akitembea kuwasalimia wanachi wa Kameroon.
Picha ya pili, anaonekna rais wa Kameroon, Paul Biya, akimkaribisha, Papa Benedict wakati alipo wasili nchini Kameroon.
No comments:
Post a Comment